Wewe unaomba ushauri, haupo tayari kuwa na mwanamke na una ngunga, na ukifanya mazoezi ndio gauge ya ngunga inapanda, basi nikakushauri ujipige selfie (pull) kama unaona ni ushauri mzuri fanya hivyo kama unaona ni ushauri wa kijinga achana nao kwa maana sio kila ushauri lazima utekeleze.