Mazoezi yananipa 'GENYE'

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
314
Reaction score
557
Habari.!?.
Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu.

Niende katika mada.
Kwa sasa ni muda sasa sina mwenza na sihitaji ili nipate fursa ya kufanya mambo yangu ya kimaisha vizuri na kwa weledi bila ya bughdha ya aina yoyote hususan za kimapenzi.

Nimejiwekea ratiba kila weekend nafanya mazoez ya nguvu ili kukimbia mihemko na vishawishi vya ngono.

Lakini cha ajabu kila nikifanya mazoezi kesho yake mwili unakuwa na moto wa ajabu(GENYE)..!!!.

Sasa nashindwa kuelewa maana tunaambiwa ukifanya mazoezi unakuwa unaepuka mihemko lakini kwangu imekuwa tofauti.
Hebu tujuzane wana jamvi.....
 
Mi nadhani wewe itakuwa hufanyi kiwango kile cha kuuchosha mwili, maana mazoez hayo hayo ukifanya kwa kiwango cha ku warm up/ kupasha kiaina bila kuchoka inaongeza msukumo wa damu kila eneo la mwili, sasa kama una muda mrefu huna mpenzi kama ulivyosema, nyege zimejikusanya hapo inakuwa kama unazipasha tuu. Fanya mazoezi kiasi cha kuuchosha mwili jiwekee muda.
 
Kweli wanaume tunapungua kwa kasi kweli!
Mwanaume unapata nyege ukifanya mazoezi???!!!
 

jamaa yan mm napiga tiz ya football mpk misuli inakaza na mwil unachoka mno
 
Bila shaka utakuwa na jini mahaba, Na nini kinachokufanya usitamani au usiwe na demu kama sio hayo madini?
 
Kufanya mambo ya kimaisha kwa weledi ukiwa peke yako, bila bughudha za kimapenzi zizalishwazo na wanawake !

Mkuu unaonekana ni kijana mdogo uliyehitimu masomo karibuni na ndiyo unayaanza maisha.

Hakuna kitu kibaya kama uamzi uliouchukua wa kuishi kiupweke kwa kuwaepuka wanawake!

Mwanamke anayeshauriwa kumwepuka ni kahaba.
Kuishi na mwanamke hasa mke ni jambo lisiloleta bugudha, pia huleta utulivu kwa kiasi kikubwa.

Haya maendeleo ya kidunia unayoyashuhudia sasa yameletwa na 'couples'.
Maisha ya ki-Shika yana gharama zake, moja wapo ni hiyo. Likisimama unakosa pa kulielekeza.

Na ukilielekeza kwa mtu akagundua dhiki zako, basi anakupiga 'masumule' ya nguvu kuzidi gharama unazomtunzia mwanamke mwandani wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…