Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 10
Mwe!
Du! na mimi nataka nianzishe thread yangu juu ya makopo ya chooni.
Kwanini huwa yanakaa sana bila kubadilishwa? sasa sijaelewa?
mwe!
Du! Na mimi nataka nianzishe thread yangu juu ya makopo ya chooni.
Kwanini huwa yanakaa sana bila kubadilishwa? Sasa sijaelewa?
wewe unapokaribishwa kwenye nyumba za watu unaanza kutafuta kasoro? Strange?
Ni mambo ya usalama tu wa kwenye hizo nyumba. Mara nyingi wakubwa wakienda kuchacharika, mahousegirl/boys na watoto shughuli zao nyingi zinakamilishwa kwa kutumia huo mlango wa nyuma. Mlango wa mbele unafungwa kwa muda mrefu kwa vile waliopo wanashinda jikoni au uani/nyuma. Sasa mgeni kama si mwizi, atalazimika kuzunguka huko nyuma, ili wamwone ndio angie ndani. Vinginevyo kama mlango wa mbele ukitumika, halafu wakajisahau ku-lock, mwizi/ tresspasser anaweza kupitia hapo na kuleta tabu zingine.
Mwe!
Du! na mimi nataka nianzishe thread yangu juu ya makopo ya chooni.
Kwanini huwa yanakaa sana bila kubadilishwa? sasa sijaelewa?
huyu sio wa kukaribisha eheeee