Mazoea na kufia dini kutawapoteza wengi

Mazoea na kufia dini kutawapoteza wengi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322
Habari wakuu,

Ukiangalia mambo ya Dini utakuta kuna wakristo na waislamu, lakini hapa nataka tuongelee Ukristo.

Kuna watu wameweka mazoea kwa kuona tu kwakuwa wao walibatizwa na kubarikiwa basi tayari wao ni wakristo.

Wengine wanaona pia wanamazoea ya kwenda kanisani kila siku Jumapili basi tayari wao ni wakristo.

Kuwa Mkristo au wa KRISTO YESU unatakiwa utafute ufalme wa MUNGU kwa bidii.

Mithali 8:17-21
Neno lake linasema nawapenda wanipendao nao wanitafutao kwa bidii wataniona

Unatakiwa uokoke ikiwa na maana umchague YESU KRISTO kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yako.

Uzishike amri zake yani uziishi, uwe mtu wa ibada ya kweli, uwe mtu wa toba ya kweli.

Uwe unatoa zaka na sadaka ktk madhabahu sahihi na kwa wajane na yatima.

Watu waliowengi wanaishi kwa mazoea ya dini wala hawaishi ndani ya KRISTO YESU.

Wengi ni waombaji lakini ni waombaji vipofu hawaoni hawana macho ya rohoni.

Wengine ni wavuguvugu si wamoto wala baridi, Leo yupo kanisani kesho kwa mganga.

Wengine wafia dini, yani hawana YESU KRISTO ndani yao wanafia makanisa.

Utasikia mtu anajisifia alivyo msabato au mlutheri au mkatoliki.

Wengine wanalitaja tu bure jina la YESU KRISTO kama la mtu wa kawaida.

Wengine wamezoea makanisa au watumishi huku mioyoni mwao YESU KRISTO hayupo.

YESU KRISTO mwenyewe amesema mimi ndio njia ya kweli na uzima mtu haendi kwa Baba ila kwa Jina langu Yohana 14:6

Ikiwa na maana kama unabakia kufia na dini na kuishi na mazoea na wewe huwezi ona ufalme wa MUNGU.

Mtafute YESU KRISTO sasa akae ndani yako achakufia dini na mazoea

BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE

Donatila
 
Uzishike amri zake yani uziishi, uwe mtu wa ibada ya kweli, uwe mtu wa toba ya kweli
Umenena vyema sana. Tena imesndikwa, "Watakatifu ni hao wazishikao Amri za MUNGU na imani ya YESU KRISTO. ufunuo 14:12.

Tena Yohana akasema, "na katika hili twajua ya kuwa twamjua yeye ikiwa tunazishika Amri Zake. Yeye asemaye, nimemjua, wala hazishiki Amri Zake ni mwongo wala kweli haimo ndani yake". 1Yohana 2:3-4.

Swali ni Je, Wakristo wanazishika Amri za MUNGU???
Na kama watasema wanazishika Amri za MUNGU ambazo hata YESU KRISTO anasema alizishika Amri zote za BABA yake (Yohana 15:10) mbona basi wameiacha Amri ya 4 na kuabudu siku ya Jumapili?

Watasema Paulo aliwaambia wasiishike Sabato, (kwa jinsi walivyotafsiri wao maneno ya Paulo) lakini Je, siyo Paulo huyo huyo aliyesema, "basi limesalia pumziko la Sabato kwa watu wa MUNGU? (Waebrania 4:9-11)

Wakristo zishikeni Amri zote za MUNGU. Mathayo 5:17-19.
 
Ucha Mungu ni vitendo sasa umeoolewa na wanaume wangapi?
Yaani wanawake wa sasahiv shida tupu
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake usije ukafanana nae. Methali 26:4-12
 
Wakati watu wanahangaika na kutafuta pesa ya kulisha familia zao ambazo Mungu kashindwa kuzihudumia, Mungu naye anataka watu wa husle kumtafuta na yeye.

Mungu anacheza hide and seek, who else enjoys this childish game?

At least angetupa pesa ya kulea familia ili walau tubaki na zoezi moja la kumtafuta yeye.

Lakini ndio kwanza anatoa na laana eti anamuambua mwanaume utatafuta kwa jasho.

Sawa sisi tumeamua kutafuta pesa kwa jasho, ila.sio jasho letu tulipoteze kwa kukutafuta wewe.
 
Habari wakuu,

Ukiangalia mambo ya Dini utakuta kuna wakristo na waislamu, lakini hapa nataka tuongelee Ukristo.

Kuna watu wameweka mazoea kwa kuona tu kwakuwa wao walibatizwa na kubarikiwa basi tayari wao ni wakristo.

Wengine wanaona pia wanamazoea ya kwenda kanisani kila siku Jumapili basi tayari wao ni wakristo.

Kuwa Mkristo au wa KRISTO YESU unatakiwa utafute ufalme wa MUNGU kwa bidii.

Mithali 8:17-21
Neno lake linasema nawapenda wanipendao nao wanitafutao kwa bidii wataniona

Unatakiwa uokoke ikiwa na maana umchague YESU KRISTO kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yako.

Uzishike amri zake yani uziishi, uwe mtu wa ibada ya kweli, uwe mtu wa toba ya kweli.

Uwe unatoa zaka na sadaka ktk madhabahu sahihi na kwa wajane na yatima.

Watu waliowengi wanaishi kwa mazoea ya dini wala hawaishi ndani ya KRISTO YESU.

Wengi ni waombaji lakini ni waombaji vipofu hawaoni hawana macho ya rohoni.

Wengine ni wavuguvugu si wamoto wala baridi, Leo yupo kanisani kesho kwa mganga.

Wengine wafia dini, yani hawana YESU KRISTO ndani yao wanafia makanisa.

Utasikia mtu anajisifia alivyo msabato au mlutheri au mkatoliki.

Wengine wanalitaja tu bure jina la YESU KRISTO kama la mtu wa kawaida.

Wengine wamezoea makanisa au watumishi huku mioyoni mwao YESU KRISTO hayupo.

YESU KRISTO mwenyewe amesema mimi ndio njia ya kweli na uzima mtu haendi kwa Baba ila kwa Jina langu Yohana 14:6

Ikiwa na maana kama unabakia kufia na dini na kuishi na mazoea na wewe huwezi ona ufalme wa MUNGU.

Mtafute YESU KRISTO sasa akae ndani yako achakufia dini na mazoea


BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE



Donatila
Mwanadamu anazaliwa akiwa huru kisha anapewa identity ya dini yake, kabila rangi, rangi yake, na taifa lake ambavyo vitu vyote hivyo ni fake . Anatumia maisha yake yote ku defend his fake identity.

Wake up girl.

Achana na mambo ya dini.

Furahia maisha YAKO
 
SAhv mwamba akipata spika tayar ni kabisa ni kanisa.
 
Wakati watu wanahangaika na kutafuta pesa ya kulisha familia zao ambazo Mungu kashindwa kuzihudumia, Mungu naye anataka watu wa husle kumtafuta na yeye.

Mungu anacheza hide and seek, who else enjoys this childish game?

At least angetupa pesa ya kulea familia ili walau tubaki na zoezi moja la kumtafuta yeye.

Lakini ndio kwanza anatoa na laana eti anamuambua mwanaume utatafuta kwa jasho.

Sawa sisi tumeamua kutafuta pesa kwa jasho, ila.sio jasho letu tulipoteze kwa kukutafuta wewe.
Wewe jamaa mtazamo wako linapokuja swala la dini huwa naishia kucheka tu.Anyway heshima yako mkuu!!

Jumapili utopolo wanakufa,tuseme tawile.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mwanadamu anazaliwa akiwa huru kisha anapewa identity ya dini yake, kabila rangi, rangi yake, na taifa lake ambavyo vitu vyote hivyo ni fake . Anatumia maisha yake yote ku defend his fake identity.

Wake up girl.

Achana na mambo ya dini.

Furahia maisha YAKO
You are very wrong my friend
 
Back
Top Bottom