Mazoea mabaya...akiona chongo husema kengeza

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
sports-4.png

Hayo ndiyo matokeo ya mechi jana... English Premier League EPL chali, Waingereza wanajisema sana na sisi tumezoea kwashangilia mno hata DSTV wanashadadia sana lakini wanapotoka nje ya Uingereza nyanya kabisa hakuna mpira uingereza ila tumezoea tunadhani ndiyo wenye mpira...majina tu hakuna lolote. Mpira Italy, spain, Germany na kiboko yao South America....COPA AMERICA. Kama hutaki basi mimi nitasemaje sasa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom