Maziwa yanauzwa kwa bei nafuu

abdusam

Member
May 3, 2019
29
95
A & Y milk suppliers ni wauzaji wa maziwa fresh pamoja na mtindi kwa bei nafuu sana.

M. FRESH Litre 1 = 1,800
M. MTINDI Litre 1 = 2,000

Weka Order yako sasa.

Tunapatikana Dar-es-salaam maeneo ya Ubungo, Changanyikeni, Goba, Makongo Juu, Savei, Sinza na Kinondoni.

Kwa mawasiliano piga:
0757 260288.

1613501071989.jpg
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,464
2,000
A & Y milk suppliers ni wauzaji wa maziwa fresh pamoja na mtindi kwa bei nafuu sana.

M. FRESH Litre 1 = 1,800
M. MTINDI Litre 1 = 2,000

Weka Order yako sasa.

Tunapatikana Dar-es-salaam maeneo ya Ubungo, Changanyikeni, Goba, Makongo Juu, Savei, Sinza na Kinondoni.

Kwa mawasiliano piga:
0757 260288. View attachment 1704362
Fanya Lita 5 hizo fasta
 
hyperkid

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
3,247
2,000
Lazima yale mambo yaweke maana na wenyewe wanataka faida pia...
Kunakifaa kinaitwa lactometer reading
Ukiwanacho hicho unawaumbua tuuh
Apo wakiweka maji ngoma inakataa Mana kinasoma density ya maziwa tuuh
Wakitia tui ngoma inakataa,ngano ndo kabisaa inakataa
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,969
2,000
Hamuweki maji hata tone?

Wafanya biashara wengi wa maziwa biashara imewashinda kwa uhuni huu. Ni bora uniuzie lita moja pure milk kabisa bila maji hata kwa TZS. 3,000/-
 
Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,886
2,000
Kunakifaa kinaitwa lactometer reading
Ukiwanacho hicho unawaumbua tuuh
Apo wakiweka maji ngoma inakataa Mana kinasoma density ya maziwa tuuh
Wakitia tui ngoma inakataa,ngano ndo kabisaa inakataa
Kumbe mkuu sikuwa najuwa hicho kifaaa aisee maana hawa jamaa wakuuzie maziwa bila kuweka maji labdaa wakamue hapo hapo na wewe ukiwepo hapo ni sawa kabisaaa na hicho kifaa kinapatikana wapi??
 
hyperkid

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
3,247
2,000
Kumbe mkuu sikuwa najuwa hicho kifaaa aisee maana hawa jamaa wakuuzie maziwa bila kuweka maji labdaa wakamue hapo hapo na wewe ukiwepo hapo ni sawa kabisaaa na hicho kifaa kinapatikana wapi??
Ukienda maduka makubwa ya vifaa ya mifugo unapata
Kapo Kama kaa test tube kalicho funga juu chini na kameandikwa density Kama yana maji , coconut milk nk unapima kana onyesha fasta unagundua Kama maziwa yamechanganywa
Kunakipindi nikikua na chukua maziwa kwa jumla kwa wakulima walikua wanalia nawambia wacheni ujinga
Na bado nilikua napima vipimo vingine
Na bado nilikua natembelea wanapokamua
Maziwa ukifanya mchezo yanakumaliza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom