Huwezi kusema hayawekwi chochote na umeandikiwa whole milk 3.5% na hizo 96.5% ni za nn kama hakuna kingine. Pia angalia kwenye ingredients. Hivi kuchemsha tu maziwa yakae 3 years?
Watatumaliza kwa tamaa zao
Hapana mkuu... maziwa hayo hayawekwi chochote zaidi ya kuwa heated at a very high temperature in very short period/time na then kupoozwa very fast... na hii ndio technique pekee inayofanya yanakua na very long shelf life kuliko yanayochemshwa kwa njia ya kawaida
Jamaa do you know the difference btw pasteurized and uht milk, ukiitwa mjinga baada ya hii usilaumu mtu
Sasa huyu jamaa na wenzake wanao muunga mkono watasema walienda shule na wakapata mafunzo, ulipokea faida gani kuhudhuria shule
Hapana mkuu... maziwa hayo hayawekwi chochote zaidi ya kuwa heated at a very high temperature in very short period/time na then kupoozwa very fast... na hii ndio technique pekee inayofanya yanakua na very long shelf life kuliko yanayochemshwa kwa njia ya kawaida
Hua yanaleta vipele na muwasho kwa watoto wadogo na pia yana kemikali ambazo ni harmful kwa wanyama ukitaka kujaribu mpe mbwa kwa siku tatu mfululizo kisha njoo utaleta mrejesho hapa. By da way nilishaachaga mda mrefu kunywa ni bora protein za mchuzi wa pweza kuliko maziwa ya brookside.
#nobrookside #
Ukitaka kumjua Uhuru Kenyatta muulize Raila Odinga ambaye juzi kuhujumiwa kwa maisha ya kijana wake kuuwawa. Uhuru Kenyatta is a devil like any other devil, toka lini nchi ikaongozwa na ganja smoker... Wanaobisha kuhusu haya maziwa niwape home work wanywe mfululizo kwa siku 7 waje na mrejesho hapa...
Khaa!! Hapa tunazungumzia maziwa sasa habari ya viroba inatokea wapi tena??