Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Hata cjaelewa cha kutisha hapo ni nin
jeneza kufukiwa na majariHata cjaelewa cha kutisha hapo ni nin
Hayo majani ya nn kaburini?
Yana tisha kwa nani?
The dead one doesn't care one way or the other
hamna kinachotisha hapo...
jeneza kufukiwa na majari
Yanatisha kwa wanaotumia sanduku kuzikia
Hayo majani ya nn kaburini?
jeneza kufukiwa na majari
Hapa nafikiri Wachangiaji wengi hajaelewa desturi za mazishi ya kutumia "mwana ndani" kwenye kaburi, sehemu ambayo huchimbwa zaidi ya ile level ya kaburi saizi ya mwili wa mtu na baadae kufunikwa kwa ubao ili mchanga usimfikie yule maiti na baadae juu huwekwa majani kablaya kuanza kufukia kaburi.
Sio rahisi kuelewa kwa kuelezea kama hivi lakini kila siku tunazika na haikatazwi kwa mtu yeyote kuhudhuria na kuelewa zaidi.