Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Kuna tetesi tesi kuna watu wanataka kuandamana ili watu wasipige kura, nataka nikuhusieni kama kuna ndugu yake au kijana wake basi amwambie aache kwa sababu haifai, Tusubiri maandamano yatakuwepo siku moja tuu ambapo siku ya kihama tutakuwa na maandamano ya watu wote, yatawahusu Waislam, Wakristo tunaandamana kwenda kwa Mola wetu kila mtu akatoe alichokifanya duniani Ameeleza Mazinge