OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Wakuu
nimekuwa nikisikia minong'ono kila pakuchapo kuhusu hela iliyotolewa na aliyekuwa rais wa libya marehem Gaddafi ikiwa ni msaada wake kwaajili yakujenga misikiti hapa nchini,lakin watu wasiokuwa na utu baada ya kuona Gaddafi kauwawa nasikia pesa hyo imepata wajanja na imeadilishiwa matumiz na kuwafaidisha wachache weny matumbo na wasiotambuwa kazi ya Mungu
Nacho jiuliza binafsi hawa watu wachache akiwemo wazir mmoja serikalin nini kilichopelekea yeye kuamuw kupindisha malengo ya hizo fedha? Yeye hana Mungu?nimekuwa nikijiuliza vilevile serikali ya libya imekosa weledi kias kwamba wameshindwa kuzifuatilia hela hizo kama kweli zilifnya kazi iliyokusudiwa?au hela hizo zilikabdhiwa kienyeji bila document yeyote ambayo leo ingetumi kama kumbukumbu?je hata rais wetu alishindwa kusimamia jamn hizi hela zifnye kaz iliyokusudiw?naombeni kwa wale mnaofhamu kuhusu hiz hela mtuambie wengine tumkuwa gizani bila majibu
Gaddafi alimpa mpaka Nyerere pesa za kujenga msikiti basi yule mzee kakaa nazo mpaka kafa hajajenga akaja kuujenga mkewe, kwa kuona haya.

Walishajenga pale Dodoma (makao makuu ya chama) bonge la msikiti.

akili km hizi ndio zinasababisha mnachapika hvy kule ukanda wa Gaza na kuanza kulia lia mkitafuta sympathy ya walimwengu,ni ujinga ujinga tu mwanzo mwisho
du story za vijiwe vya kahawa vitakufikisha pabaya, nyerere hajawai pewa pesa na gadafi na hawakuwai kuwa marafiki baada ya gadafi kutuma askari kumsaidia amin kwenye ile vita ya kagera, kwanza unatakiwa ufaham baada ya vita vya kagera gadafi alitaka kuwanunua wanajeshi wake waliokamatwa kama POW ktk vita ile waliokua wakimsaidia amin, nyerere kwa dharau kubwa akawapakia tena wenye ndege akawarudisha bila kuwafanya chochote be informed, usilete uzuishi wa kwenye vijiwe vya kahawa wakat unasubir kufturu ukauleta hapa kwa watu wenye data!!!
Kijana bado u mdogo sana kuelewa haya mambo yalishajadliwa humuhumu JF mwaka 2011, unaweza kutumia search engine ya JF ukayakuta, kwa faida yako na kukusaidia kukupa ilm, nakuwekea hii, jisomee:
"Nakumbuka Mwalimu Nyerere aliwahi kwenda Libya kwa Gaddafi na akaulizwa apewe msaada gani kwa wanakijiji wenzake Butiama, akitambua kuwa hapakuwa na msikiti bora na mzuri, aliomba fedha za ujenzi wa msikiti na ulijengwa na sasa ndiyo msikiti bora zaidi mkoani Mara."
Huyo ni Vincet Nyerere mbunge wa chadema katika mahojiano, source hii hapa: RUDISHA RASILIMALI KWA WANANCHI: Si kweli kwamba hatuwezi kuchimba wenyewe madini
Wakuu.
nimekuwa nikisikia minong'ono kila pakuchapo kuhusu hela iliyotolewa na aliyekuwa rais wa libya marehem Gaddafi ikiwa ni msaada wake kwaajili yakujenga misikiti hapa nchini, lakin watu wasiokuwa na utu baada ya kuona Gaddafi kauwawa nasikia pesa hyo imepata wajanja na imebadilishiwa matumiz na kuwafaidisha wachache wenye matumbo na wasiotambuwa kazi ya Mungu.
Nacho jiuliza binafsi hawa watu wachache akiwemo wazir mmoja serikalini nini kilichopelekea yeye kuamuwa kupindisha malengo ya hizo fedha? Yeye hana Mungu? nimekuwa nikijiuliza vilevile serikali ya libya imekosa weledi kias kwamba wameshindwa kuzifuatilia hela hizo kama kweli zilifnya kazi iliyokusudiwa? au hela hizo zilikabdhiwa kienyeji bila document yeyote ambayo leo ingetumika kama kumbukumbu? je hata rais wetu alishindwa kusimamia hizi hela zifnye kazi iliyokusudiwa? naombeni kwa wale mnaofhamu kuhusu hizi hela mtuambie wengine tumkuwa gizani bila majibu
Gaddafi alimpa mpaka Nyerere pesa za kujenga msikiti basi yule mzee kakaa nazo mpaka kafa hajajenga akaja kuujenga mkewe, kwa kuona haya.
Wazee wa kulalamika.
Walishajenga pale Dodoma (makao makuu ya chama) bonge la msikiti.
Acha kusumbua au hujui Shetan kafungiwa Mwezi huu hadi Iddi ndio anafunguliwa....Wakuu.