Mazeru Karate

Kuna kijana nahitaji nimsimamie ajifunze ila anapoishi ni mbali na chanika
 
Mi naomba kuuliza, kuna Kara te, Kung fu, Boxing, Tai chi n.k sijui kama IP MAN nayo imo..... ila swalli langu katika Michezo hii yote ni mchezo upi ambao Mtu akijifunza basi huyo atakua kashindikana, yaani ukienda na Kung fu atakuchapa, ukienda na Boxing yake utachezea n.k???
 
Mh,,sijui kama upo uo mchezo wa kuzidi michezo yote,minilishaona mcheza kung fu kakaa kwa kick boxing na pia kick boxing kakaa kwa kung fu.
Ila MMA naona angalau ni wabaya zaidi kwenye michezo hii ya mapigano.
 
Hakuna Sanaa Ya mapigano Bora kuliko nyingine, ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.
 
Hauna u master wowote wewe

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…