Mazeru Karate

Krav maga ni uhuni. Ni martial art pekee ambayo inafundisha kufinya, kung'ata na kukimbia.


Na hizo ndo mbinu za ugomvi wa mtaani. Karate kwa zaidi ya 60% ipo kimchezo zaidi (sport,) ndo maana Kuna rules lakini katika ugomvi wa mtaani hakuna rules. Chochote kilichokaribu unatumia, kila sehem ya mwil wako inatumika Kama vile meno, kucha, kufinya, n.k


Wachezaji karate weng ukiwabana vzr wanahama kutoka kwenye ugomvi wa kikarate kuja kwenye tifu (ugomvi wa mtaa)
 
Upo sahihi kabisa
 
Copy and paste....lakini izo ulizoainisha hapo ni shotokan mkuu.....sijaona Brazilian just jitsu technique ata Moja..wala kungfu....Sasa unaposema ni mixer unanichanganya.... Ok watakuja
 
Copy and paste....lakini izo ulizoainisha hapo ni shotokan mkuu.....sijaona Brazilian just jitsu technique ata Moja..wala kungfu....Sasa unaposema ni mixer unanichanganya.... Ok watakuja
Umezisoma mbinu wa zote vizuri na umezielewa, na Kama umezielewa kwanini unsema nishotokan tupu. Naomba uniambie ,nage waza, ipo kwenye shoto Kan au kasugo waza au izo foot work (ashi sabaki) nilizo ainisha hapo shotokan wao wanatumia term hizo.
 
Vitu viwili haviko sawa kwenye huo msimamo wako.
1. Vidole havikupaswa kuwa hivyo vilivyo..vibane viwe pamoja..hivyo vilivyo adui yako anaweza kuvigonga na kuviathiri.
2. Focus yako haiendani na shambulio..macho yanatazama juu tofauti na mwelekekeo wa kick..
Hayo tu..ukiona yanafaa chukua.
Oss
 
Wewe Bado Sana ila endelea kujifunza , utaelewa tu.
 
Au kama upo fiti, njoo na Sanaa yako vitani nikunyooshe- 0717927312 Mimi nipo chanika nafundisha mazeru self defense,

Hivi mwezi mmoja naweza kupata idea hata kidogo na mwili ukawa kimazoezi?
 
Krav maga origin yake ni Urusi. Idea ya krav maga ni kwamba unayepambana naye ana silaha so unatakiwa kushambulia kwa haraka kisha unakimbia.

Kung'ata, kufinya, kutumia mawe vyote sawa
Hata mawe unaweza kutumia nzuri sana hii.
 
Naomba nikusaidie 'Masta'kama mnavyopenda kujiita..kwa majibu haya unaendelea kujiumbua kwa sisi tunafahamu..Karate au Martial Arts sio kujua kurusha mateke tu..ni filisofia au dini yenye misingi ya kutokuwa mshari na kujisifia na mambo mengine mengi.
Karate ni busara na unyenyekevu, kama mlipukaji hivyo hizi sifa za kufundisha wengine sijui unazitoa wapi? tena una brand yako kabisa ..shida sana na matapeli wa taaluma za watu hawataisha Tanzania.
 
Ndio hawahawa wakujifunza uchochoroni tu. Nayeye anatafuta wake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi na tengeneza Njia yangu, ili wengine wapite salama, alafu wewe unatia viziwizi ili watu wasipite . Nahapa unataka niwe mnyenyekevu tu . Hapana unyenyekevu haupo ivyo. Inapo bidi nilazima nisafishe Njia ili Njia yangu iaminike na watu wapite salama,bila ya hofu Wala kiziwizi chochote kile.
 
Alafu mimi sipendi kuitwa master, ila kama unaona Mimi nimejifunza
Vichochoroni sawa, wewe uliojifunza kwenye vyuo vikubwa . Njoo chuoni kwangu uyakinishe unayoyasema .Mimi nipo tayari kupigana na mtu yoyote yule ambae anajifanya yeye anajua kuliko wengine. Na mwenye maneno ya kejeli . Watu wa aina yenu mpo wengi
Sana ila dawa yenu nikuwanyoosha tu ndio mtaamini kuwa Tanzania Kuna watu wanauwezo. Hi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…