Jenerali Ken
Member
- Mar 30, 2020
- 68
- 66
- Thread starter
-
- #21
HaiHii Yenyewe!
Karibu Sana ,0717927312.
Krav maga ,ni mchanganyiko wa mbinu za karate,Kung Fu,judo nakadhalika. Hakuna mchezo Bora duniani kuliko mwingine ,ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.Hakuna self defense itakayoioiku KRAV MAGA.
Mtu akijifunza karate miaka 2 na mwingine akajifunza krav maga miez 6, huyu wa krav maga atakuwa fiti zaidi ya wa karate.
Kwenye karate wanapoteza muda mwingi kujifunza vitu ambavyo yavitumiki katika real street fighting Kama kata, Mara mazoez ya kupanua misamba ili uweze kurusha mateke ya juu zaidi.
There are no katas to learn in krav maga
In krav maga we recommend low kicks
Krav maga ni uhuni. Ni martial art pekee ambayo inafundisha kufinya, kung'ata na kukimbia.Hakuna self defense itakayoioiku KRAV MAGA.
Mtu akijifunza karate miaka 2 na mwingine akajifunza krav maga miez 6, huyu wa krav maga atakuwa fiti zaidi ya wa karate.
Kwenye karate wanapoteza muda mwingi kujifunza vitu ambavyo yavitumiki katika real street fighting Kama kata, Mara mazoez ya kupanua misamba ili uweze kurusha mateke ya juu zaidi.
There are no katas to learn in krav maga
In krav maga we recommend low kicks
Krav maga, yenyewe inaitwa ,amerikan karate, nayo ni karate tu .Krav maga ,ni mchanganyiko wa mbinu za karate,Kung Fu,judo nakadhalika. Hakuna mchezo Bora duniani kuliko mwingine ,ila itategemea na uwezo wa msanii mwenyewe.
Katika watu kumi ukiwauliza bingwa wa dunia wa Karate labda mmoja tu ndiyo atamjua. Akiulizwa bingwa wa boxer wa dunia pengine watu 8 watamjua.Kweli kaka.
Krav Maga hatufanyi Show...Tuna surviveKrav maga ni uhuni. Ni martial art pekee ambayo inafundisha kufinya, kung'ata na kukimbia.
Krav maga origin yake ni Urusi. Idea ya krav maga ni kwamba unayepambana naye ana silaha so unatakiwa kushambulia kwa haraka kisha unakimbia.Krav maga, yenyewe inaitwa ,amerikan karate, nayo ni karate tu .
Hahaha na ndiyo maana siiamini kara te. Kara te inakupa speed na accuracy ila haikupi nguvu ya punch so kunakua na less damage compared to other arts.Krav Maga hatufanyi Show...Tuna survive
whatever it takes
Sasa wewe uvamiwe na vibaka 6 utaanza kuruka hung'waaaa hiyaaaaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Krav maga origin yake ni Urusi. Idea ya krav maga ni kwamba unayepambana naye ana silaha so unatakiwa kushambulia kwa haraka kisha unakimbia.
Kung'ata, kufinya, kutumia mawe vyote sawa
Karibu sanaSafi sana.
Ntakutafuta chanika mwisho nitoe kitambi,nijifunze kukwepa,kupiga na mbio kama nikizidiwa kupigana.
Kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikweli enzyme hii kitu nimuhimu Sana kujifunza katika maisha, karibu Sana.Dah nipo mbali mkuu ....
napenda Sana kujifunza hizo kitu for self defense.
Vizuri Sana sister, pilipili ,mchanga na maji ya kuwasha, yote ni self defense ipo ndani ya mafunzo ya kujilinda.Mi natembea na pilipili