Wapendwa anaejua hilo gari,uimara wake na matumizi yake hasa hapa bonhe pls anisaidie ushauri maana nataka kuagiza au kama mtu analo namba C/B Nzuri tunaweza kuongea nipo ver serious na hili.
Wadau naomba mwenye kujua gari hapo juu anisaidie ninalitaka saaana na pia je linaweza kuendana na road za bongo??vp spare parts zake availabilityvyake?naomba kufahamu kwa kina saaaana.