Unaweka stika juu ya Tansk pale Diesel unawez on uchafu lakn ni MUHIM sanaSema Gari za Diesel ni mwanzo wa kulaumiana na wauza mafuta wakiona gari ndogo wanawaza petrol inabidi uwe extra care la sivyo unaingia gharama
Wanakuwa kuna utofauti na miaka michache iliyopita, mwaka 2018 mazda zilikuwa chache mno ila kwa sasa ni nyingi na hii inaashiria soko linakuwa.Mauzo madogo sana ukifananisha na magari ya segment iyo kutoka makampuni mengine.
Mkuu sheli kuna upande wa diesel na petrol, mtu mpaka anakuwekea mafuta sio umepaki pampu sio pia.Sema Gari za Diesel ni mwanzo wa kulaumiana na wauza mafuta wakiona gari ndogo wanawaza petrol inabidi uwe extra care la sivyo unaingia gharama
Khaaaaaaaaaa... Mtatuua na magari ya 2020+View attachment 2973538
Cx90 imetulia mno
Zile pampu zipo karibuMkuu sheli kuna upande wa diesel na petrol, mtu mpaka anakuwekea mafuta sio umepaki pampu sio pia.
True ila bongo inabidi uwe front kuelekeza watu cha kufanya maana watu wamevurugwa sana anaweza kuona kabisa diesel na still akakuwekea petrolUnaweka stika juu ya Tansk pale Diesel unawez on uchafu lakn ni MUHIM sana
Hakika mkuu , tahaadhar MUHIM mi mwenyew nikaw na gari kubwa huw nafk nakuuwambia petrolTrue ila bongo inabidi uwe front kuelekeza watu cha kufanya maana watu wamevurugwa sana anaweza kuona kabisa diesel na still akakuwekea petrol
Anakuja wapi wakati hizo gari ni toleo la 2018 kushuka?Mazda anakuja vizuri sana.
Umeelezea vyema.
Tz bado tunatumia gari nyingi matoleo ya 2015 kushuka, ni wachache sana wanaotumia matoleo mapya ya 2020 hadi sasa.Anakuja wapi wakati hizo gari ni toleo la 2018 kushuka?
Nmeiweka tu kuonesha ilivyo nyookaKhaaaaaaaaaa... Mtatuua na magari ya 2020+
Mnyama anatembea balaa, suspension zake zipo vizuri sana ikiwa rough road imetulia