Kwanza nikuweke sawa ili usipate tabu kuelewa mawazo ya watu watakaochangia. Unaposema biashara ya mazao ni swala pana.
Mfano mimi natokea mpanda nataka nijihusishe na biashara ya kununua nafaka.
Mimi natokea mpanda nataka nijihusishe na biashara ya matunda.
Mimi natokea mpanda nataka nijihusishe na biashara ya pamba.
Hayo yote ni mazao, ukiingia deep hata maziwa, nyama, mafuta yote ni mazao