Acheni Ushabiki wa kijinga Dogo Kaonyesha Upinzani ambao Mayweather hajawahi ona au pata! Uwiano wenyewe hakuna Dogo 23, Mayweather 36! Mayweather alitakiwa kuonyesha kama yeye ni mbabe kwa KO Kwa yule Dogo! Ishara za Nyakati hizo kwa Moneyweather!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!