Inabidi kumuonea tu huruma huyu ndugu matefu maana kama kuhaha kahaha sana na cheo ajapata.matefu ni kada wa ccm na kwenye bunge la katiba alikuja na tanzania kwanza,czi na leo mayoda duh!pole matefu tafuta kazi ya kufanya sio ya kutetea watu walio feli,
Hana lolote amesema hakuna njaa tena wanasema yawezekana kuna upungufu wa chakula. Maana yake ni kuwa hana uhakika na chochote na wala kile akisemacho hakijui, kwa hiyo anachofanya nikubahatisha kutafuta kitu kwa mtukufu.
Wameisha mjua udhaifu wake, ukisifia tu......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.