Una akili nyingi sana!Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC hao wanasumbua sana kila siku.
Sijakuelewa Unasema Phiri kafanyaje🤔🤔🤔Kuna ubishi siku hizi ambao unaendelea kwa watu wakilinganisha Mayele na Phiri.
Kuna watu wana sema phiri sio stricker kama mayele bali ni kiongo mshambuliaji.
Mayelle yuko special hata mimi nisiyejua mpira wala wachezaji ninamjua MayelleKuna ubishi siku hizi ambao unaendelea kwa watu wakilinganisha Mayele na Phiri.
Kuna watu wana sema Phiri sio stricker kama Mayele bali ni kiungo mshambuliaji.
Kwa hiyo goli zake nyingi ana funga kwa kujitafutia mpira au kwa mwenyewe kitu ambacho sio kweli.
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa mechi za Simba utakubaliana na mimi jambo hili. Goli nyingi za Phiri ni mipira ya kutengewa na Chama au wachezaji wengine, Ila any way lengo langu sio ilo.
Nataka tu ukweli kuhusu uchezaji wa Phiri na Mayele. Phiri ni faux number 9 ambaye anacheza kama namba 10 au 7 au 11 lakini namba yake halisi kabisa ni 9, Mfano ni kwa Mbape na Ronaldo.
Mbape kipindi cha cavani alikuwa ana cheza kama namba 7 uku akitokea pembeni, Lakini goli zake nyingi alikuwa ana funga akiwa kama namba 9 kwa kutowa pass kwa wenzake alafu ana kimbilia kwenye box haraka saana kusubiri mpira. Na ndivyo Phiri naye anavyo cheza kwa hiyo ni vigumu kutambua kama ni namba 9 lakini hatulii kwenye namba yake.
Mayele naye sio stardup scricker kama watu wanavyo dhani, Mayele akiwa ndani yq uwanja mara nyingi anacheza kama namba 10 sio mtu wa kutulia saana kwenye eneo lake ni mtu ambaye ana anzisha mashambulizi akipata mpira anatowa pass alafu ana kimbilia kwenye box ndivyo naye anacheza. Mfano ni mechi ya Simba ile ngao ya jamii na zingine nyingi tu amekuwa akifanya hivo
Kwa hiyo kumbe ni suala la kumjua, sio uwezo? Labda nikuulize, kati ya Karim Mandonga na Shaban Kaoneka, unamjua nani zaidi?Mayelle yuko special hata mimi nisiyejua mpira wala wachezaji ninamjua Mayelle
Ndio kina nani hao kina Kaoneka?Kwa hiyo kumbe ni suala la kumjua, sio uwezo? Labda nikuulize, kati ya Karim Mandonga na Shaban Kaoneka, unamjua nani zaidi?
Kama ambavyo wewe hauwafahamu mabondia, ndivyo na yeye huyo jamaa hawafahamu wachezaji, ila amesema Mayele ni zaidi kwa kuwa anatajwatajwa (kama ambavyo Mandonga anatajwatajwa)Ndio kina nani hao kina Kaoneka?
Mayele hataki kumsikia George Mpole hata chembeSio vzr kumfananisha Mayele na kibonzo
Na hili ndilo linalothubitisha kauli ya manara kuwa pale yanga wenye akili timamu ni wawili tu.Mnamvalisha Phiri viatu vikubwa mno. Hebu muacheni ajipambanue kwenye eneo lake lakini pia ni kumkosea heshima Mayele kumlinganisha na Phiri.
Wote ni wazuri kwenye timu zao ila Mayele is far better than any striker in bongo. Pengine Phiri tumuweke na watu kama kina Lusajo Reliant, Mpole n.k
Sent using Jamii Forums mobile app