Mayele ndiye aliyewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita

Escotter20

JF-Expert Member
Jul 20, 2020
465
842
📩 Mayele ndiye alitewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita kwa kufunga magoli (14) kwenye ligi, alizidiwa goli moja tu na Jean Baleke wa Tp Mazembe (15).

01. ⚽ v DTB football club.
02. ⚽ + 🎯 v Friends Rangers.
03. ⚽ v Pan African football club.
04. ⚽ v DTB football club.
05. ⚽ v Simba sports club.
06. ⚽ ❎ v Geita gold.
07. ⚽ v JKU football club.
08. ⚽ + 🎯 v KMC football club.
09. ⚽ v Azam football club.
10. ⚽ v Mbeya Kwanza.
11. ⚽ v Biashara Utd.
12. ⚽ v Dodoma jiji.
13. ⚽ v Coastal union.
14. 🎯 v Polisi Tanzania
15. ⚽ v Mbao fc

Note ; Mayele tangu atue Yanga ameshafunga jumla ya magoli (⚽14) na assists (🎯3) kwenye michezo yote (17) aliyoanza kikosini 🙌

👕 17 = Michezo aliyoanza.
⚽ 17 = Magoli aliyohusika.

📌 Kwa hiyo kuhusu kufunga tu kwa huyu jamaa haijawahi kuwa tatizo kwake,, ni Mshambuliaji wa kisasa anayeweza kufunga kwa kila nyenzo.

✅ Free kick ; Naona Yanga hawajajua kuhusu obora wake wa kufunga kupitia mipira iliyokufa,, kafunga sana Dr Congo 🇨🇩

✅ Header ; Kwa kichwa.
✅ Left foot & right foo.

🔍 Tom cruz
FB_IMG_16338852496919079.jpg
 
Back
Top Bottom