Maybe we belong here

Maybe we belong here

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176
Ukifuatilia ili swala la Barrick/Acacia, Boeing na jinsi Watanzania tunavyoshabikia na kuwatetea hawa mafisadi ni kweli hakuna ubishi waposema sema kila siku waafrika tuna LOW IQ na pia ninaanza kuwaelewa labda tunatakiwa tuwe porini na wanyama wengine!!
1423501258648-jpg.225571
 
Sorry Mods, rekebisha kichwa cha habari, "maybe we belong here".
 
Wazungu wabaya sana unakuta wengine now days wanajipendekeza kwa watu weupe wanaukana uafrica
 
Na sisi tukamate vile vitoto vya watalii tufuge, unajua kuna watu huku hawajawahi kuona wazungu kama vile wazungu amabavyo waengine hawajaona ngozi nyeusi

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahhah umenichekesha mkuu mababu zetu ndio walitendewa hivyo tunapaswa kusamehe ila twatakiwa tusijipendekeze kwao
 
nmeongelewa kuhusu picha hiyo
Ila kweli sisi waafrika tuna matatizo sana
Acha kujitoa hufahamu,
Katiba na sheria mbovu tunaziweka wenyewe kwa ubinafs tuliyokuwa nawo,
Hiyo Acasia na barick vinausiana nini na hiyo picha!
 
Na sisi tukamate vile vitoto vya watalii tufuge, unajua kuna watu huku hawajawahi kuona wazungu kama vile wazungu amabavyo waengine hawajaona ngozi nyeusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Siungi mkono mambo kama haya lakini kama mawazo yako yangetimia, wazungu na waafrika kwa asilimia kubwa wangepinga lakini kwa mwafrika kuna baadhi ya waafrika ndio wangewauza wenzao kwenye hayo ma zoo!!
 
Ukifuatilia ili swala la Barrick/Acacia, Boeing na jinsi Watanzania tunavyoshabikia na kuwatetea hawa mafisadi ni kweli hakuna ubishi waposema sema kila siku waafrika tuna LOW IQ na pia ninaanza kuwaelewa labda tunatakiwa tuwe porini na wanyama wengine!!
1423501258648-jpg.225571

Kwa siasa za leo hapa Tanzania unafikiri huyo mtoto anamuwakilisha nani na hao wanaomlisha ndizi wanamuwakilisha nani?
 
Hii picha imenisikitisha sana, Wazungu hawana maana kabisa...
 
Kwa siasa za leo hapa Tanzania unafikiri huyo mtoto anamuwakilisha nani na hao wanaomlisha ndizi wanamuwakilisha nani?
Kwa siasa za tz huyo mtoto anawakilisha taifa la Tanzania na wanaomlisha ndizi ni mabepari/makaburu/wanyonyaji. Aliyemfikisha huyo mtoto huko ni yuleyule Mtundu Anti Kisu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom