Nilikuwa najaribu kuunganisha dots, japo naweza kuwa nimekosea.
Pascal Mayalla alikuwa team Lowassa. Na Nchimbi alikuwa team Lowassa. Na sasa kuna mvutano wa chini kwa chini kati ya Mwingulu na Nchimbi. Je Mayalla anamsaidia Nchimbi, waliokuwa wote team Lowassa?