Mayalla: Walinilazimisha kukiri kosa

Mkuu tumuombee mwanaJF mwenzetu hicho kikombe kimpite.
Huyu Pasco wakati Tundu Lisu na Cdm wanahamasisha NRNE ili kuhakikisha wahuni hawarudi madarakani, ndio alikuwa anabeza kuwa cdm na Tundu Lisu hawana siasa za kistaarabu. Sasa wahuni wamemfikia anaanza kujiliza. Asuburi kwanza afanyiwe uhuni ili atapike vijisent walivyopewa kutetea serekali ya wahuni.
 
Si chawa huyu jamaa, imekuwaje tena? Sidhani kama mwaka huu atapata dili ya Saba Saba.
Nilikuwa najaribu kuunganisha dots, japo naweza kuwa nimekosea. Pascal Mayalla alikuwa team Lowassa. Na Nchimbi alikuwa team Lowassa. Na sasa kuna mvutano wa chini kwa chini kati ya Mwingulu na Nchimbi. Je Mayalla anamsaidia Nchimbi, waliokuwa wote team Lowassa?
 
Pitia post zangu zilizopita ninazikujibu wewe. Nilikuambia Zamani. Naona hivi sasa unatafuta huduma. Ulichokitowa wewe siyo maoni bali ni deformation . Na usijifiche Kwenye kichakancha kutoa maoni. Just thinitisha Tu kama waziri mkuu alichukia. Sasa hapo umeonewa? Nikasema MTU Fulani ni msenge Kwenye media hayo yanakiwa maoni!
Usitafute huduma Fanya ulichoambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…