Habar JF,
Ninauza mayai ya kuku wa kisasa, makubwa, mazuri, masafi yenye ujazo. Mahali ni Arusha, Sakina.
Bei ni 6,000 kwa tray na ukiagiza tray nyingi utaletewa ulipo kwa wakaz wa Arusha.
Mawasiliano 0786-305664
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.