Ungetuwekea picha maana wengine hata hatujui kwale wanafananaje.
Mayai yapo mkuu,ni Tsh 20,000/= kwa tray,ni affordable kabisa,maana kwenye maonesho ya nanenane Morogoro walikua wanauza 3,000/= kwa moja!mayai yapo Dar,ila kama unataka tray zaidi ya tano nijulishe mapema
Kwale... ndege kuku... bundi... mabututu... ujasiriamali kazi kwelikweli
Mkuu nimejaribu kukupigia sikupati,naomba kujua bei kwa tray moja ni kiasi gani?kama bei ni reasonable nahitaji tray 4 haraka iwezekanavyo mkuu
Tray moja ina mayai mangapi????
Maana hapa uganda its very expensive na tray moja ya mayai 50 inaenda hadi 150,000/= u.sh ambayo ni kama 90,000/=t.sh
Mkuu ni kweli mayai ya kware ni ghari sana hata Kenya, na advantage yao ni kwamba wanapata sapoti kubwa sana ya gavament hasa KWS, huku watu wanafuga kwa substance kibiashara ni ngumu kwa sababu ya vibari, Kibari ya kufuga kware nisawa na kuomba kibari cha kufuga twiga nyumbani, unategemea nini hapo?
Je kuna mtu anaweza kunisaidia na vipimo vya banda la kwale 50
Tray moja ina mayai mangapi????
Maana hapa uganda its very expensive na tray moja ya mayai 50 inaenda hadi 150,000/= u.sh ambayo ni kama 90,000/=t.sh
Mkuu ulimaanisha mimi au mtu mwingine?kama ni mimi sijapata any msg inbox