Mayai ya kuku wa kisasa

teflon_1880

Member
Jun 14, 2016
49
9
Nauza mayai ya kuku wa kisasa trey kwa shilling 7500 napatikana dar na dodoma kwa bei ya 10500 ikiwa utahitaji trey nying.

#mawasiliano yangu 0658 999 507
 
Attachments

  • 20160613_194507.jpg
    20160613_194507.jpg
    125.5 KB · Views: 68
Tangazo lako lina mushkeri, ulikusudia kusema rejareja 10500 na jumla 7500? Maana bei ya jumla haiwezi kuwa kubwa na rejareja iwe ndogo
 
Wakubwa natafuta kuku aina ya kuchi kwa ajili ya kufuga,tafadhali mwenye nao tuwasiliane kupitia no0683716509
 
Tangazo lako lina mushkeri, ulikusudia kusema rejareja 10500 na jumla 7500? Maana bei ya jumla haiwezi kuwa kubwa na rejareja iwe ndogo
No nilikusudia kwa jumla+ rejareja kwa dar ni 7500/=
Dodoma 10500/= ila kwa dodoma ni mpaka mtu awe na uhitaji wa trey nyingi!
 
Back
Top Bottom