Mayai ya kuku wa kisasa yanaitajika

Mayai ya kuku wa kisasa yanaitajika

shumbuo

Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
41
Reaction score
24
Habari wapendwa naitaji mayai ya kuku wa kisasa bei ya manunuzi isizidi 7000 kwa wiki naitaji trei 100 kwa mwezi naitaji trei 400 nipo mkoa wa dar-es-salaam posta mpya mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano 0676918508
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom