Nikubuka
Member
- Sep 21, 2017
- 20
- 7
Habari!
Napenda kutoa fursa kwa yeyote ambaye ataweza kusupply mayai tray 150 kwa wiki.
Mazingatio ni kama ifuatavyo
1. Mayai yawe safi pia bila kupasuka.
2. Aweze kuyapack kwa ajili ya kuyasafirisha mkoani.
3. Uaminifu ni jambo la msingi, hivyo tungependa kuwasiliana na mzalishaji moja kwa moja.
4. Huu ni mwandalio, tutatembelea msambazaji na kumaliza biashara uso kwa uso.
Tafadhali, HII NI KWA WATU SERIOUS TU hivyo tusingependa watu wasiokuwa na mzigo au kujua sehemu mzigo unapopatikana kupoteza nuda wetu na wake.
Itakuwa vizuri kama kutaambatana na picha ya kuku wanotaga au mayai yaliyokusanywa. Sio lazima ila itapendeza ikiwa hivyo.
Napenda Kuwasilisha.