Mayai ya kuku wa kienyeji

Jogoo10

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
100
Reaction score
11
Natafuta soko la kuuza mayai ya kuku wa kienyeji, namanisha kuku wa asilia kabisa. Kwa sasa nazalisha trei 2 kwa siku, sijui wapi pa kuuza nisaidieni.
 
Natafuta soko la kuuza mayai ya kuku wa kienyeji, namanisha kuku wa asilia kabisa. Kwa sasa nazalisha trei 2 kwa siku, sijui wapi pa kuuza nisaidieni.

Uko wapi?
 
Hongera hayo mayai yanatafutwa sana.
 
mpaka hapo naona jamaa haonekani tena, na hajaacha namba ya simu, no wonder anatafuta soko kwa bidhaa ambayo inajiuza yenyewe, biashara ni kipaji!
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…