Simiyu mbali ila ningependa kujua unahitaji kiasi gani.Mi niko simiyu kunitumia hadi huku itakuwa sh ngapi
Yapo japo c mengi,unapatikana wapi???Ya Kienyeji huna?
Mi nipo Dar Nakuletea kwa 8000 Popote ulipo Dar,
ila kuanzia trey 3 nakuendelea.
Ninayo ya kutosha hata ukitaka trey 40.
we upo wapBei yako kali sana me nanunuaga tray 6200