halafu nimependa ufugaji wako mkuu,kuna kitu nimejifunzaKabisa mkuu, ni bora ukapata moja kwa moja kutoka shambani maana watu wanaangalia pesa zaidi kuliko afya za walaji.
Katika mazingira ya kawaida, mayai ya kienyeji yanafaa kukaa kwa muda usiozidi siku 10 hadi 12 ili ubora wake uendelee kuwepo. Kukaa muda mrefu zaidi ya hapo itategemeana na namna ya uhifadhi, ingawa baadhi ya virutubisho vinapungua kadri muda unavyo kwenda mbele.Aisee mayai makubwa kama ya bata mzinga. safi sana ntakucheki. Hivi huwa ya kienyeji yanakaa siku ngapi kabla ya kuharibika??
You are the best mkuu. Nusu tray linanihusu.Katika mazingira ya kawaida, mayai ya kienyeji yanafaa kukaa kwa muda usiozidi siku 10 hadi 12 ili ubora wake uendelee kuwepo. Kukaa muda mrefu zaidi ya hapo itategemeana na namna ya uhifadhi, ingawa baadhi ya virutubisho vinapungua kadri muda unavyo kwenda mbele.
poa mkuuTuwasiliane mkuu, hakuna kitakacho shindikana.