mayai ya kichina,tutakoma

Duuuh,tunakula sumu nyingi miaka hii.
 
haya nmeyapenda sana. yanauzwa wapi?
 
Duh kwa staili iyo umri wa kuishi kwa mtanzania utapungua mpaka kufikia miaka 45 kwisha.
 
yanauzwa yamechemshwa?? itakuwaje kwenye kupika kiepe yai ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…