F Farmer82 Senior Member Joined Sep 15, 2013 Posts 183 Reaction score 39 Sep 11, 2014 #1 Wadau kwa wale wenye mayai ya kanga,naomba wani PM maana nilikua nahitaji tray kadhaha!hasa kwa wakazi waishio Dar es na mikoa ya karibu kama Morogoro
Wadau kwa wale wenye mayai ya kanga,naomba wani PM maana nilikua nahitaji tray kadhaha!hasa kwa wakazi waishio Dar es na mikoa ya karibu kama Morogoro
Mbepo yamba JF-Expert Member Joined Aug 5, 2012 Posts 1,466 Reaction score 2,285 Sep 28, 2014 #2 mkuu hapo unakosea maana kwenye pm mtakuwa peke yenu. wache waje hapa tujue wote kama wapo na wanapatikana wapi kwa hapa dar. Nami nayahitaji
mkuu hapo unakosea maana kwenye pm mtakuwa peke yenu. wache waje hapa tujue wote kama wapo na wanapatikana wapi kwa hapa dar. Nami nayahitaji
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,211 Sep 28, 2014 #3 mi nataka ya kieneji ya kula tu kwa bei ya 450 nitanunua meng