kuna mtu namdai hataki kunilipa....nadhani nahitaji yai...ni sh ngapi?
kama una mdaiwa sugu yai la bundi ndio kiboko yake....Ukilipata ndio unafanyaje? Toa elimu ili wajasiriamali tuingie mzigoni kusaka mayai ya bundi !!!!!!!!!!!!!
kama una mdaiwa sugu yai la bundi ndio kiboko yake....
mnh..................mkuu habari ya kwenda kwa kalumanzila tena,basi wacha niwe maskini tu<br />
<br />
Hahahaaah!mi sijui wanalifanyaje,ila ukilipata we mpeleke kalumanzila atamaliza mchezo wote!
unampiga nayo....? au ndio unayapiga mwenyewe halafu unaenda kumwambia neno tu alafu anajukuta anakupa..?
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">mmmh...nchi hii kwa kuchakachua....nikisema hapa hakawii kutokea babu wa mayai ya bundi....akaaa....</span></font></font>
Una uhakika kwamba Rose1980 ni wa kwako na Mwita25???Aisee we Rose1980 unapendwa kinoma na ndo maana anakudunda daily!
mme wangu ananidunda dailyy....pls gve mayai to me nile nipate nguvu nianze KUMDUNDA YEYE..
kwa bei yeyote kwa dola au paund nipo readyyyyyyy...wewe tu...
Nilikuwa nafanya topographical survey katika pori moja maeneo ya Ifunda-Iringa kwa ajili ya ku-establish stone quary kwa ujenzi wa Iringa-mafinga highway,msaidizi wangu alimkurupua bundi kutoka kiota chake na akafanikiwa kutwaa mayai yake mawili.
Ninavyojua mimi mayai haya ni bonge la dili endapo mtu ana bonge la kesi isiyokuwa na dalili ya kuisha yaani hata kama ulimbaka mtoto wa rais au mauaji,kesi inafutwa faster faster bila maswali na unaachiwa huru.
Au kama unataka utajiri pia yanafaa na huwa hayapatikani kizembe.Najua wengi mtaponda lakini kuna wale wanaoyahitaji watani-PM sasa hivi,nakaribisha request zenu.