Mayai ya blue

culboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
526
Reaction score
48
Nauza mayai ya blue yanayotibu kisukari presha na magonjwa ya moyo pia mjasiriamali anatakaiwa kufuga hawa kuku mayai yake ni gali sana huuzwa mpk 5000/= number yangu ni 0757662401
 
Kama mayai Ni gali na Bado supply Ni ndogo Mbona Wewe watangazi, Ujinga Wa Loliondo Huu!


Nauza mayai ya blue yanayotibu kisukari presha na magonjwa ya moyo pia mjasiriamali anatakaiwa kufuga hawa kuku mayai yake ni gali sana huuzwa mpk 5000/= number yangu ni 0757662401
 
Haya tena mayai ya Blue muone Mr blue naona yeye anapenda vitu vya
blue itakua rahisi ,lakina kwa gf jaribu kutoa shule ya kutosha ili
tukuelewe
 
Mi naomba niulize yanatagwa na kuku gan
wa kisasa au wakienyeji??
 
Weka picha ya hayo mayai na pia udhibitisho toka tfda ukiweza pia tafuta angalau watu kumi waliotumia na kupona waasaidie kutuaminisha,
 
kama kweli yapo tushakufa tunasubiri kuzikwa tuu
 
toa elimu zaidi basi

Elimu ipi mkuu!huyu jamaa anataka kutuingiza chaka,si anajua tanzania hii ni kama ward ya wagonjwa mahututi!? Hivyo upuuzi wowote ukiupa jina DAWA huwa unapokelewa kwa mikono miwili kama siyo kupiganiwa kabisa,aendelee tu kujitibu nayo,mi hata siyataki,over
 

shauri yako ila sasa umeyaona nadhani
 
chemicals packed in an egg like shape now called mayai........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…