Mayai bora ya kisasa yanapatikana kigamboni

Time Traveller

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
314
Reaction score
305
Habari wadau wa JF. Mayai bora ya kisasa yenye kiini cha njano yanapatikana Geza ulole wilaya ya kigamboni Dar-es-salaam.
7f75683307a18d0705937f22b3c5591a.jpg

Tunapokea oda ndogo na kubwa kutoka kwa watu binafsi, makampuni, bakeries, mashule, biashara ndogo ndogo. n. k. Ukihitaji kuanzia tray 5 utaletewa popote ulipo ndani ya dar-es-salaam.
a9540c3d004259fbc1056f0be49f1970.jpg

Bei hubadilika badilika kutokana na kupanda kwa chakula cha kuku. Kwa sasa Tray moja ni shilingi 7000 ila ukichukua mengi inakuwa ni 6500
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0657 619708, 0693 053317.
 
Nikichukia tatu utanifanyia bei gani mkuu??naomba nisaidie nataka 3 au 4......
 
Habari wadau wa JF. Mayai bora ya kisasa yenye kiini cha njano yanapatikana Geza ulole wilaya ya kigamboni Dar-es-salaam.
7f75683307a18d0705937f22b3c5591a.jpg

Tunapokea oda ndogo na kubwa kutoka kwa watu binafsi, makampuni, bakeries, mashule, biashara ndogo ndogo. n. k. Ukihitaji kuanzia tray 5 utaletewa popote ulipo ndani ya dar-es-salaam.
a9540c3d004259fbc1056f0be49f1970.jpg

Bei hubadilika badilika kutokana na kupanda kwa chakula cha kuku. Kwa sasa Tray moja ni shilingi 7000 ila ukichukua mengi inakuwa ni 6500
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0657 619708, 0693 053317.
Bado unayo,kiongozi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom