Katika VYEO na NAFASI zote CDM walizompa au walizoshinikizwa kumwachia ZZK, hawajapatia kumpa NAFASI inayoendana na sifa, mapenzi na hisia zake. Zitto anafaa na ameonyesha kuwafunika watu wote Tanzania katika nafasi na vyeo vifuatavyo:
- Mkurugenzi wa Habari za Bunge na Kamati Muhimu za Bunge
- Muandishi wa Habari Binafsi na Makala za Ujiko
- Makamu Katibu Mkuu-Mkurugenzi wa Ofisi ya Mtandaoni (Twitter, Facebook, and other Web 2.0 you name them)
- Msemaji wa Kitengo cha Maafa, Dharura na Mambo Ambayo Hayajaamuliwa na Chama-CDM
Iwapo iwapo mtahalalisha moja ya vyeotajwa hapo juu, basi mtakuwa mmempatia ZZK nafasi/cheo kinachoendana na wasifu, tabia, hisia na mwenendo wake