Maya Angelou: Mfahamu mwanamke wa kwanza mweusi kuonekana kwenye sarafu ya Marekani

....."Rais Bill Clinton mwenye asili ya Afrika"....

Ulimaanisha au ni makosa sa kiuandishi?

Tangu lini Clinton akawa na asili ya Afrika?

Au ulimaanisha Obama?
 
Heko kwa mama mwenzetu.

Nimemkumbuka Clinton (nilikuwa nampenda ) na kashfa yake ya Watergate.

Sijui yule mrembo yuko wapi sasa.
Mandeny kashfa ya watergate haikuwa ya Clinton ilikuwa ya raisi Richard Nixon.Kashifa ya Clinton ilikuwa ya Monica Lewnsky
 
Back
Top Bottom