May be safari ya matumaini ilianza hapa

May be safari ya matumaini ilianza hapa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1545201_383892701795752_8093746701844376194_n.jpg
 
Naona kabisa Edo na ndovu lager sikunyingi wanajuana hata kampeni ya kuvua gamba inamuhusu nape.
 
Dah, kumbe hawa ni washkaji kitambo...alikaa kwenye kiti chini kama Nyookaa vile
 
Yaani hawa kumbe wanajuana kitambo sisi wananchi ndo tunachezewa akili
 
Sitakuja kusahau mradi wa mapacha watatu (lowasa, kiwete na rostam) wa kuchichongea kampuni feki ya richmond ambayo haikuwa na fedha, ofisi, mitambo wala uzoefu. Kila siku walikuwa wanaikamua tanzania milioni 152. IMAGINE. Nasikia wasingeshitukiwa kwenye dili hii walikuwa mbioni kuunda kampuni km 20m feki ili kurudisha pesa walizokuwa wametumia wkt wa uchaguzi. Style ileile ealiyotumia kumuingiza kikwete wanataka kuitumia tena. ZILE KAMPUNI FEKI 20 AMBAZO ZILIFELI KUANZISHWA SASA ZITATUMIKA KUPORA UTAJIRI WA NCHI KM KWELI IKATOKEA lowasa jambazi sugu na fisadi papa akawa rais wa tz
 
Akitukanwa au kukejeli Mbowe uzi unafungwa haraka.Wakitukanwa wengine ruksa. Wacheni double standards.
 
Back
Top Bottom