Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 632
Haya my dear.. But I still believe Prayers are everything ..Thanks..
Kikombe gani Brenda?
Kikombe cha maumivu,kwaio kama ikibidi nisidate kabisa nipo tayari kuliko heartaches za mwaka 2015...
Thanks you are right.. prayers are everything... n God wishes comes through various ways. The way alivyojieleza Lilymash anaonekana yuko serious n very interested na naamini kupitia maombi roho amemjia akajikuta amepost na Mimi imenigusa japo mipango ya Mungu anaijua Mungu mwenyewe.
Kikombe cha maumivu,kwaio kama ikibidi nisidate kabisa nipo tayari kuliko heartaches za mwaka 2015...
mi nataka hela tu za kutosha maana ndo maisha hayo mapenzi na ndoa ni imagination tu kitu kinapendwa kwanza af mtu so ela ndo everything
Mimi Mungu niepushe na maumivu ya moyo....eeeh ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke 2016
Dah! Pole sana lakini wenzio wanazungumzia ndoa sio mambo ya kudate bila sababu za msingi.
Mimi Mungu niepushe na maumivu ya moyo....eeeh ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke 2016
Sorry,unafikiri sababu ya wewe kupata headache kwa mwaka huu wa 2015 ni Mwanaume tu? Wewe hukuchangia?
Ameeeen.... Sounds like me na walioniliza wanataka second chance huyu Mungu acha tuu aitwe Mungu.. This year mmmhhmmmm .. Thank you Jesus Amen.. Thanks..
Brenda bwana eti uepushwe na maumivu ya moyo hah hah mimi ayo ndo sitaki kabsa kuyasikia kuna kajisehemu kangu nimejihifazi ambapo ni salama kwakwel pakibuba hata siwezi kuumia naondoka.kimya kimya