Ubora wa Tecno ni sawa sawa au hata zaidi ya Samsung, ila tatizo letu wabongo tunameza sana. Kamata Phantom Z ndio utajua what I mean here. Samsung ni very expensive for nothing.
Hilo sio tatizo ni kuwachorea wenzao walitakiwa kujipima ubavu na kina i phone sio kuwafanyia hvo tecno
we unavyodhani inaruhusiwa kufanya hivyo kutumia jina bidhaa ambayo mko pamoja kwenye soko. Kwa kuipondaKwani we ukiona lile tangazo unadhani wanatangaza nini?
Pale wanawaambia wenye simu ambazo sio kubwa kama samsung waende wakanunue za samsung, iphone iko level nyingine
we unavyodhani inaruhusiwa kufanya hivyo kutumia jina bidhaa ambayo mko pamoja kwenye soko. Kwa kuiponda
we unavyodhani inaruhusiwa kufanya hivyo kutumia jina bidhaa ambayo mko pamoja kwenye soko. Kwa kuiponda
Soko la samsung hapa TZ limeathiriwa sana na TECNO na hali inazidi kuwa mbaya kwao..lazima wajitutumue sana. Hali ya maisha ngumu kwanini nikanunue samsung kwa bei ghali while kuna TECNO yenye application na uwezo zaidi ya samsung kwa bei ya kiungwana.Hilo sio tatizo ni kuwachorea wenzao walitakiwa kujipima ubavu na kina i phone sio kuwafanyia hvo tecno
Samsung ni world brand, tecno imetengenezwa kwa ajili ya watu wasiojiweza
Tena ninayo hapa TECNO L3 ninaiuza 80000 tu
Samsung ni world brand, tecno imetengenezwa kwa ajili ya watu wasiojiweza
Hahaaaa
Nimecheka