Kudadeki lazima simba wapakatwe chezea pesa wewe.Manji tunakutakia maisha marefu.Ubingwa wa Afrika huo unanukia
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani
Huyu Maximo si ndiye watu walimbeza wakati ule?? tena amekuwa mzuri? maisha haya....Hii nimeipata Michuzi Blog. Soma hapa:
MICHUZI: BREAKING NYUZZZZZZZ........: Marcio Maximo kutua Yanga
Maoni: Yusuph Manji ameanza kuonesha makucha yake. Tutegemee makali zaidi.
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani
Ha ha haa 5-0
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani
Jeuri ya pesa za mfadhili!......ukiwa nazo waweza kununua hata dabwada ukidhania mali.
Bado kiwewe cha 5-0 kinawasumbua.
Mlango atakao ingilia Maximo asiufunge. Anaweza tokea huo huo tena kwa speed kali...amuulize Profesa Papic!
Kutoka nafasi ya 270 kwa viwango vya fifa hadi nafasi ya 86 siyo historia nzuri hiyo?Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani