Mawifi chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Mawifi chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Yan Aisha Mkumbo kapinda haswa. Kachamba ukoo mzma mpka mume wake mwenyewe. Na cha ajabu usikute bado yuko na huyo mumewe anayemwita chaunabe. Wanaume wa kweli wamekwisha duniani. Unaishije na mwanamke mshari kama huyo? Anakutukania mama yako hadharani na bado unaendelea kuwa naye?
Kuna watu wana deserve wake type hiyo ha ha ha ha ha
 
swdaktaa. ila hta mume akiwa na msmamo ma wifi na wakwe wa dizain hyo huwa fyokofyoko nyngi even though mume hawaskilizi. hawa huwa wana laana.
Yani ukimpata mwenye msimamo nafuu, ila ndo mawifi headache, mkwe na mume naye headache pia. Kakichaa ka ndoa kanaweza kuanza slowly
 
aisee kaka steven umeongea maneno yenye ukweli mtupu. sisi wanawke tumeumbwa ma roho za ajabu sna. mawifi na mama mkwe siku zote huwa na hzo tabia tna utakta wifi/mamamkwe anajfanya kumshauri ndugu/mtoto yke mambo ambayo anajua mkewe haafiki nayo ili mradi tu awachnganishe. na tna kama mke na mume wanaoneshana upendo ndo kabsaaa kwao kuona hamuelewani ndo furaha yao. talking wth exprnc. ndiomana WANAWAKE NI WAKWANZA KUINGIA MOTONI. shame on thm wote ndgu za mume wnye magubu ya kishetan. mmxiieeewwww.
Hivi hii dada ni kwasababu wanawake hawapendani au sababu ni nini?
 
Hii tabia ya wifi kuingilia ndoa za ndugu zao na kuleta mtafaruku ambao wakati mwingine kupelekea kwa ndoa nyingi kuvunjika inazidi kushamiri kila uchao.

Utakuta hawa mawifi ndo chanzo cha migogoro katika ndoa nyingi na wakati mwingine kuwapangia ndugu zao kipi wawafanyie na kipi wasiwafanyie wake zao na wakati mwingine kuanzisha matabaka kwa kumpenda mke wa ndugu flani na kumtenga mke wa ndugu mwingine kwasababu sisizo za msingi, kwa mfano utakuta wanamchukia mke wa ndugu flani kutokana na either mmewe anampenda sana au kwasababu hapendi kuwaskiliza wao.Utakuta mtu anapendana na anaishi vizuri na mke wake lakini mawifi wanaanza kutafuta maneno kwa ajili ya kuwatenganisha na wakati mwingine mwanaume usipokuwa makini basi utakuta ndoa yako inasambaratika.

Dada zangu chonde chonde hebu badilikeni kama ndugu yako ana mke wake na wanapendana waache waishi kwa amani kwani wamechaguana wao na sio kuanza maneno yasiyo na tija mara sijui huyu hapa kwetu anatujazia tu choo, mara ni mvivu, mara sijui lazima tumkomoe kwa kumchonganisha na mmewe kwasababu tangia aje hapa kwetu upendo wa ndugu yetu umepungua kwetu au yeye ndo anapendwa zaidi na sababu nyingine sisizo na msingi ambazo mwishowe husababisha ndoa kuwa na mgogoro na wakati mwingine hata kuvunjika.

Na sisi wanaume kama umeoa ishi kwa upendo na mkeo mjenge maisha yenu na sio kuanza kusikiliza maneno ya uchonganishi kwa mkeo kutoka kwa baadhi ya ndugu na wazazi maana baadae utajajuta na ikumbukwe kuwa ndoa ni ya wawili na usikubali ndugu au wazazi kuingilia ndoa yenu kwasababu zao binafsi na uwe makini na maneno yanayoweza kukuchonganisha na mwenza wako kutoka either kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki na ukumbuke huyo ni mkeo uliyemchagua na ni jukumu lako kumlinda na kumtunza.
Wewe kama mwanaume, baba na kiongoz WA familia yako kw nin uruhus dada zako waje kukuvurugia familia yako. Weka msimamo IL kila ajue hutaki mchezo kwako akija aje kw heshima na sio kuleta umbea
 
sababu wnawake tuna tabia ya roho za vinyongo wivu na roho mbaya. japokua co wte ila wengi wao.
Naungana na wewe ktk hili, unajua hata katika maisha ya kawaida mfano ukienda mahali kupata huduma, ukikuta mtoa huduma ni mwanamke anaweza kukujibu vibaya lakini sisi wanaume wengi wetu hatupo hivyo ktk kutoa huduma. Wakati mwingine naona wanawake wanatawaliwa sana na emotion kwenye mambo mengi.
 
Naungana na wewe ktk hili, unajua hata katika maisha ya kawaida mfano ukienda mahali kupata huduma, ukikuta mtoa huduma ni mwanamke anaweza kukujibu vibaya lakini sisi wanaume wengi wetu hatupo hivyo ktk kutoa huduma. Wakati mwingine naona wanawake wanatawaliwa sana na emotion kwenye mambo mengi.
Daa ni kweli mkuu hasahasa sehemu za maofisini wana mapokezi mabovu pamoja na kauli mbaya ili hali kichwani ni kopo yaani hamna kitu kabisa sema wengi wanaajiriwa kwa kuwahonga mabosi kwa kutoka nao isingekuwa ni hivyo hawa viumbe wangepata sana shida
 
Daa ni kweli mkuu hasahasa sehemu za maofisini wana mapokezi mabovu pamoja na kauli mbaya ili hali kichwani ni kopo yaani hamna kitu kabisa sema wengi wanaajiriwa kwa kuwahonga mabosi kwa kutoka nao isingekuwa ni hivyo hawa viumbe wangepata sana shida
Hata hizi kauli mbiu za baadhi ya wanawake kudai usawa wa kijinsia huwa sizi amini sana kama ni zakutoka mioyoni, sababu hata wao wenyewe hawapendani kwahiyo sio rahisi wao kwa wao kusapotiana
 
Wakati mwingine na waolewaji tukiingia familia za watu tunaingia na uchonganishi ndio zinaibuka chuki.
 
Lkn kama mke wako ni mvivu au mchafu kweli kwa nn watu wasikuambie?kuna vengine vinauma wanavyofanya wake zetu na ukiangalia ata ww mume unaona ni kweli. Kwa nn usimuwache?tupo nayo tunaenda nayo ila yanauma .yamenikutaaaaaaa eeeeeeeee binafasi

Mkuu;
Sijui hata nikuweke kundi gani. Hivi ulioa trakta aina ya Kubota au Massey au mtu mke?? Ulipooa ulioa umpeleke kulima au kukata majani ya ng'ombe za wachagga?? Ulipo oa ulinunua sabuni ya jik ili iondoe madoa nyumbani mwako?? Hakuna kitu kibaya ka mapenzi ya kusikizishwa ati muoe yule au huyu ni mzuri saana.
Ulikutana na mtoto wa watu, moyo ukakutoka hadi ukakosa pumzi kwa uzuri uliouona. Leo, pengine ushamtotolesha vitoto 4 ndo unauona uchafu wake?? Dhambi nyingine mtazibeba kuanzia hapa hapa duniani tu. Utazaa mtoto wako wa kike na huyo kimada wako aliye kuzuzua ukamwacha mkeo. Naye huyo mtoto wako ataitwa majina hayo hayo uliyomwita mkeo. Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwanamme unayeruhusu mtu mwingine akusemee neno kumhusu mkeo, huna akili kabisaaa. Mkeo ni weye wala si mama flani. No, no, noooo. Nilimpenda mke wangu na mtu asiniambie lolote kumhusu. Najua kilicho ni zuzua nikaona wengine wasikione bali ni mimi tu. Ndiyo maana nikaweka ndani ili nikilala nimuone, nikiamka nimuone, nikirudi kutoka job nisikie sauti yake tu.
Kwangu mimi kamwe hatakaa awe mchafu, mvivu au mzee. Nilimkuta bikra na sitakaa niamini kama anamjua mwanamume mwingine. Ka amekuwa used ni mimi tu hakuna mwingine. Kama hutaki yakukute, mrudishe mkeo au usijaribu tundu jingine
 
My dear sio kwa hizi familia zetu za kiafrica. Huolewi na mume peke ake, unaolewa na ukoo mzima. Kuna watu ndoa zao zinadumu kwa sababu ya ndugu wa mume, na Kuna watu ndoa zao ni shubiri kisa ndugu wa mume. Basi tunaomba tu Mungu atupe waume wenye misimamo na ndugu wa mume watakaotupenda.
Kumbe una akili!
 
Mawifi wenye tabia za kuingilia ndoa za watu utakuta ndoa zao zinapumulia mashine..... Ni kuwapuuzia tu mapenzi ni ya wawili
Hii ni kweli. Unashangaa wanakuwa wepesi kutoa ushauri ila ikiangalia ndoa zao zinapwaya. Labda wanapenda wifi naye aharibikiwe wawe sawa.
 
Back
Top Bottom