Mawifi chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Mawifi chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Mawifi ni noma! wiki hii kulitokea msiba wa mtu wa dola, ni mzaliwa wa mkoa wa Mara, walienda kuzika na jana mjane amerudi town, niliguswa kwenda kumpa pole kama jirani yangu. wakati tunaongea akaniambia kuwa kumbe wakati mumewe amezidiwa dada yake alimshawishi kaka yake (marehemu) amkabidhi hati ya nyumba, hivyo walipokuwa kwenye kikao cha ukoo baada mazishi alishangaa kuona wifi yake anasema "hati ya nyumba hii kaka alinipa alivyokuwa anaumwa, alisema kuwa ana wasiwasi akifariki unaweza kuuza nyumba". duuuuuuuuu ! hao ndio mawifi
 
Ahaha sijaiona. Ila huyo Aisha ni kwamba yamemfika hapa, yupo tayari kwa lolote. Mawifi/wakwe headache, upate na mume headache tena khaa
Tena anasema ma mkwe cha unabe ila hata mume wangu mwenyewe chaunabe, kwanini anatoa maneno anayapeleka kwa ndugu, basi wamwambie ndugu yao aniache kama anaweza ha ha ha ha ha huyu mwanamke hatari kabisa
 
Tuombe mwenyezi mungu atupe Mume/Mke mwenye kheir na sisi changamoto za wifi,Mama mkwe,Baba mkwe,Shemeji
zitakuwepo tuu,ila wewe mke ndio unatakiwa kutumia akili yako na zidi kumuomba Mwenyezi mungu akupe subra na uvumilivu kwani kila familia utakayo ingia ina majanga yake, unaweza ukakuta mkwe mpole na ma wifi wapole lakini mashemeji ndio balaa,wewe kama mke ndani ya nyumba nilazima ujue kuishi na watu tabia yako kama mbaya usilaumu wifi
Hukuolewa na wifi umeolewa na mumeo wifi anakukera nini? mie kwa upande wangu wifi shemeji sio threat hawajawa na hawatokua tishio kwenye ndoa yangu,huenda mkwe sababu namuheshimu sana Mama na Baba na hawa ni sawa na wazazi wangu,walobakia wakiniheshimu sawa hawakuniheshimu sawa mie shida yangu mume wangu sio mazowea na wao,na wala sipotezi mda wangu kuwa please wao,ntawapa heshima yao kama wifi na kama shemeji lakini wasi cross line...
ukishughulika na wao mume atakushinda....
My dear sio kwa hizi familia zetu za kiafrica. Huolewi na mume peke ake, unaolewa na ukoo mzima. Kuna watu ndoa zao zinadumu kwa sababu ya ndugu wa mume, na Kuna watu ndoa zao ni shubiri kisa ndugu wa mume. Basi tunaomba tu Mungu atupe waume wenye misimamo na ndugu wa mume watakaotupenda.
 
Tena anasema ma mkwe cha unabe ila hata mume wangu mwenyewe chaunabe, kwanini anatoa maneno anayapeleka kwa ndugu, basi wamwambie ndugu yao aniache kama anaweza ha ha ha ha ha huyu mwanamke hatari kabisa
Hahaa eti mume cha unabe. Hapo mume ndo ataambiwa vizuri "tulikwambia huyu mwanamke hakufai, unaona sasa? Ila inakera sana, imagine kila unachofanya mume huyo kudiscuss na ndugu zake, hapana
 
My dear sio kwa hizi familia zetu za kiafrica. Huolewi na mume peke ake, unaolewa na ukoo mzima. Kuna watu ndoa zao zinadumu kwa sababu ya ndugu wa mume, na Kuna watu ndoa zao ni shubiri kisa ndugu wa mume. Basi tunaomba tu Mungu atupe waume wenye misimamo na ndugu wa mume watakaotupenda.
Ameen,ila labda niseme Binadamu tuna tofautiayana malezi na tabia,mimi kwamfano tuko 10 kaka7 na sie wa3 lakini hatuna time na ma wifi zetu kabisa sasa sijui sababu kila mtu busy na maisha yake au naweza kuka hata miyaka miwili sijaonana na wifi yangu tunaongea tuu kwa cm wengine niko nao mki mmoja lakini kuonana nadra sana na muhimu Kaka yangu yuko Happy ndio furaha kwetu lakini time na ma wifi hatuna na hata wifi zangu siwapi mda wakanizowea,lakini tunacheka tunaelewana ila mipaka ipo,na mume nae pia anachangia akiwa Mzembe...
 
Sio tu malezi, Ila kila mtoto ana tabia yake. Watoto wanazaliwa na mama mmoja, wanalelewa na mama mmoja Ila kila mtu ana tabia yake. Sasa kuna wengine wamelelewa vizuri tu, Ila wana nature ya kufatilia yasiyowahusu. Na kuna Wakati unakuta mkwe mstaarabu, mawifi headache, au mawifi wastaarabu Ila mama headache, au wote wakawa headache. Mwisho wa yote, wakujenga/kubomoa ndoa ni nyie wanandoa na misimamo yenu. Mkiruhusu third party wawatawale, imewacost
 
Kwani hilo ni kosa la wifi au ni la mmeo? Ukiona watu wa nje hasa ndugu ndo wana ushawishi mkubwa ujue mshikaji hajitambui.Maana pamoja na kwamba ni ndugu wana expect msaada toka kwako sio kwamba wanaleta chochote kwako, utasikia chanzo cha ugomvi hawalipii ada ndugu zake! Kwani mkeo yeye hana ndugu? Sasa kama uwezo ulionao si wa kusaidia pande zote mbili kwa usawa, bora ijali kwanza familia yako ukishajilidhisha ndo uangalie na ndugu
 
Mume akiwa hivo inabidi apate mwanamke fyatu kama yule aisha, kuna clip ipo whatsapp Aisha anahojiwa na dida anasema nimekuja kuwachamba mama mkwe, mawifi zangu pamoja na mume wangu ha ha ha ha ha nilicheka sana

Hahahaaa nimeiona hii. Kuna wadada wamepinda jamani kha. 'Eti mama mkwe meno kama kitana cha chuma lol. Mume anajambisha yeye anakunya kabisa uwii'
 
Hahahaaa nimeiona hii. Kuna wadada wamepinda jamani kha. 'Eti mama mkwe meno kama kitana cha chuma lol. Mume anajambisha yeye anakunya kabisa uwii'
Ha ha ha ha ha ma mkwe cha unabe mume pia cha unabe, yule dada ni mwehu
 
Ha ha ha ha ha ma mkwe cha unabe mume pia cha unabe, yule dada ni mwehu

Yan Aisha Mkumbo kapinda haswa. Kachamba ukoo mzma mpka mume wake mwenyewe. Na cha ajabu usikute bado yuko na huyo mumewe anayemwita chaunabe. Wanaume wa kweli wamekwisha duniani. Unaishije na mwanamke mshari kama huyo? Anakutukania mama yako hadharani na bado unaendelea kuwa naye?
 
Hii tabia ya wifi kuingilia ndoa za ndugu zao na kuleta mtafaruku ambao wakati mwingine kupelekea kwa ndoa nyingi kuvunjika inazidi kushamiri kila uchao.

Utakuta hawa mawifi ndo chanzo cha migogoro katika ndoa nyingi na wakati mwingine kuwapangia ndugu zao kipi wawafanyie na kipi wasiwafanyie wake zao na wakati mwingine kuanzisha matabaka kwa kumpenda mke wa ndugu flani na kumtenga mke wa ndugu mwingine kwasababu sisizo za msingi, kwa mfano utakuta wanamchukia mke wa ndugu flani kutokana na either mmewe anampenda sana au kwasababu hapendi kuwaskiliza wao.Utakuta mtu anapendana na anaishi vizuri na mke wake lakini mawifi wanaanza kutafuta maneno kwa ajili ya kuwatenganisha na wakati mwingine mwanaume usipokuwa makini basi utakuta ndoa yako inasambaratika.

Dada zangu chonde chonde hebu badilikeni kama ndugu yako ana mke wake na wanapendana waache waishi kwa amani kwani wamechaguana wao na sio kuanza maneno yasiyo na tija mara sijui huyu hapa kwetu anatujazia tu choo, mara ni mvivu, mara sijui lazima tumkomoe kwa kumchonganisha na mmewe kwasababu tangia aje hapa kwetu upendo wa ndugu yetu umepungua kwetu au yeye ndo anapendwa zaidi na sababu nyingine sisizo na msingi ambazo mwishowe husababisha ndoa kuwa na mgogoro na wakati mwingine hata kuvunjika.

Na sisi wanaume kama umeoa ishi kwa upendo na mkeo mjenge maisha yenu na sio kuanza kusikiliza maneno ya uchonganishi kwa mkeo kutoka kwa baadhi ya ndugu na wazazi maana baadae utajajuta na ikumbukwe kuwa ndoa ni ya wawili na usikubali ndugu au wazazi kuingilia ndoa yenu kwasababu zao binafsi na uwe makini na maneno yanayoweza kukuchonganisha na mwenza wako kutoka either kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki na ukumbuke huyo ni mkeo uliyemchagua na ni jukumu lako kumlinda na kumtunza.
aisee kaka steven umeongea maneno yenye ukweli mtupu. sisi wanawke tumeumbwa ma roho za ajabu sna. mawifi na mama mkwe siku zote huwa na hzo tabia tna utakta wifi/mamamkwe anajfanya kumshauri ndugu/mtoto yke mambo ambayo anajua mkewe haafiki nayo ili mradi tu awachnganishe. na tna kama mke na mume wanaoneshana upendo ndo kabsaaa kwao kuona hamuelewani ndo furaha yao. talking wth exprnc. ndiomana WANAWAKE NI WAKWANZA KUINGIA MOTONI. shame on thm wote ndgu za mume wnye magubu ya kishetan. mmxiieeewwww.
 
Mawifi wenye tabia za kuingilia ndoa za watu utakuta ndoa zao zinapumulia mashine..... Ni kuwapuuzia tu mapenzi ni ya wawili
Kabisaa asilimia 150 mawifi aina hzo huwa ndoa zao ni mattizo mwnzo mwsho plus wakwe wa dizain hyo huwa hawana mume i.e ndoa ziliwashnda sikunying.
 
Kosea pote usikosee kuolewa na mwanaume asiye na msimamo. Kweli kuna mawifi na wakwe vichomi, ila mume akisimama kwenye nafasi yake, watasurrender wenyewe. Sasa upate mume bendera fuata upepo, utajutraaa
swdaktaa. ila hta mume akiwa na msmamo ma wifi na wakwe wa dizain hyo huwa fyokofyoko nyngi even though mume hawaskilizi. hawa huwa wana laana.
 
Ndiyo maana Zari ameamua kuishi na Diamond wake basi..maana wale mawifi na mama wakwe gubu limewajaa
 
Mume akiwa hivo inabidi apate mwanamke fyatu kama yule aisha, kuna clip ipo whatsapp Aisha anahojiwa na dida anasema nimekuja kuwachamba mama mkwe, mawifi zangu pamoja na mume wangu ha ha ha ha ha nilicheka sana
hahahahah naifaham hyo clip. mama mkw ana meno kaa chanio la chuma. nafwaaa. hahahhaha alinifurahshajeee..
 
Kabisaa asilimia 150 mawifi aina hzo huwa ndoa zao ni mattizo mwnzo mwsho plus wakwe wa dizain hyo huwa hawana mume i.e ndoa ziliwashnda sikunying.
Ukiona hivi unachagua kuwa puuzia maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom