Cable ya otg haihusiki katika ishu ya kutumia internet.
Lakin sijaelewa unatak kutumia internet kwenye simu au kwenye pc?
Kama unataka kutumia kwenye pc huna haja ya kuzima data we iunganishe tu na pc, kama unataka kutumia kwenye simu, modem yako inatakiwa kua na uwezo wa kuwasha wifi hotspot hata hapa haitakua na ulazima wa kuzima data ni utawasha wifi kwenye simu yako na kuunganisha kwenye hotspot husika.