mawazo ya msomi wa darasa la (7) kuhusu rushwa na ufisadi, na njia zakutokomeza

pauli jm

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
391
275
Kama tujuavyo, rushwa, na ufisadi, nimiongoni mwavitu vinavyo tufanya tuzidi, kubaki hapahapa, tulipo kila tuki jaribu kusonga mbele huju mdudu aitwaye, "Rushwa" pamoja nandugu yake "Ufisadi" kwapamoja wame jaribu kutu rudisha nyuma nakwa kweli wame fanikiwa vyakutosha kutu rudisha,nyuma.… Nakwakuwa siku zoote pia nasisi tume jaribu.pia ku pambana na hawa wadudu waharibifu, lakini yamukini bado hatuja fanikiwa
kifile, siku soote 'wapambanaji 'wame kuwa waki pambana, kwaku tumia mawazo ya wasomi wa 'phd' nakwakuwa bado hawaja fanikiwa kukishinda kirusi hiki hatari, mimi nimeona sasa,ime fika wasaha nawa somi wa darasa la'saba' kutoa maoni yao nandio mana nime andika mawazo haya nita ele zea hapo chini.

MIMI nina ona tatizo kubwa
letu tumekuwa tuki pambana zaidi na 'watu' badala ya vitu,kitu, kisababishi, kichokonozo,. nk nk Nitaeleza namna tuna vyo pambana na 'watu, badala hivyo nilivyo vieleza hapo juu!
1. Ime kuwa ni desturi yetu sisi kushabikia watu kufungwa au kunyongwa, kabisaa bila yaku jali jee! Kama hao wala rushwa waki fungu rushwa itaisha, au kupungua? Sisi huwa hatu jiulizi hayo sisi, huwa tuna jipoza maumifu tuu! Baada yakuwaona, wale tuwaitao wanyanganyi wakiwa magerezani laki huwa tuna jiuliza niwangapi huwa wana tuibia bila yakujua nakamwe hatu wezi kuwajua kwani sisi niwaumini wazuri saana' wakupoza maumifu?. Naam ndio hatu wezi kuwajua kwani huwa hatu fwatili mambo, ila ilitakapo tokea ndipo tutakapo piga makelele kuomba tupozwe maumifu, nakatika kupozwa maumifu. Ndipo uta kapo kuta tuna' jishughulisha zaidi na 'watu' badala ya 'tatizo'.

Rushwa&Ufisadi inapo tokea tatizo hapo sio wala rushwa bali tatizo ni 'Ufisadi&Rushwa' nita elezea nikwanini tatizi ni hivyo nilivyo vitaja nawala sio watu; watu wanapo kula rushwa wao sio rushwa baliwao niwala rushwa, nawala wao sio tatizo bali tatizo ni rushwa&ufisadi, daima mtu hawezi kuwa kosa ila kosa lita baki kuwa kosa.

Sasa tu shughulikaje nakosa nawala sio watu kama tufanya vyo kwasasa; kwamtazamo wangu, kwanza linapo tokea tukio tuji ulize nikwanini limetokea nawalasio ninani kachukua zaidi. Kwamfano ya mesha tokea matukio mengi sana tuna paswa kujiuliza nikwanini yali tokea?; tukipata jibu , tuzibe mianya ili lisi tokejingine… nasio kusubiria litoke ndio tupozwe maumifu kwakuwafunga watu.

Kwamfano tuna weza kuzi iga njia zilizo tumika na {shirikisho lampira wamiguu, duniani} wao hawaja wa buruza watu kwani hawaku taka 'kuji poza maumifu bali kutatua tatizo nandio mana hatua, zote zile zili chukuliwa' "Cheki sasa kazi nzuri walio ifanya wali tazama niwampi penye tatizo wala hawaku mtafuta 'raisi mstafu' alie komba, ,zile hela yeye nawashirika wake,kama wange hangaika nawatu' zaidi' kuliko tatizo kama sisi ina maana wange wa shitaki watuhumiwa nawa hakikishe wame fungwa miaka yakutosha; Huku waki lisahau tatizo laki msingi nina wahakiki shieni. Kama wange fanya hivyotuu! Nakuishia hapo. muda unge kuwa sii mrefu wange mchagua raisi mwingine naku mtimua tena kwakosa lilelile, Laufisadi lakini kwakuwa wao walijua fika tatizo nimfumo waka urekebisha namambo yanavyo onekana nifigumu sana kwasasa kutokea tena tatizo la 'ufisadi' ndani ya shirikisho hilo...... kwani wali shughulika na kile kiitwacho khaswa kisababishi.…… sasa tuji ulize sisi kama Taifa nikwanini tuna shindwa nakiji shirikisho tuu!

JEE ADHABU KALI HUTOKOMEZA RUSHWA&UFISADI.

Ukiniuliza mimi jibuni, hapana wanini Nita eleza;kwanza niki tazama mataifa yanayo toahizo 'Adhabu kali' sioni kama wame fanikiwa kifile katika mapambano dhidi, ya 'rushwa &ufisadi' kwamfano yapo mataifa mengi yanayo toa hukumu za kifo kama. China,korea kazikazini. Namengine mengi. Lakini tutazame haya mawili … Ivi Pakasasa huwa hatu sikii taarifa zawala 'rushwa' wamataifa hayo??. Ukweli nikwamba huwa tuna sikia, kama huwatunasikia jibu nikwamba ......hata kwao kuta kuwa na rusha, nakama kwao kuna rushwa basi bila shaka njia zao zakupambana na hilo tatizo zime feli.

JEE ELIMU HUSAIDIA KUPAMBANA RUSHWA &UFISADI.

Jibulangu nindio lakini hapana.
Kwanini nina kosa uhakika najibu, nikwasababu Siamini yakwamba kuna mtu hata mmoja hajui kwamba Rushwa&Ufisadi. Nikosa napia inachangia kutu shushachini.

Ila ndio kwasababu tuna weza,kuwafundisha watu hasa watoto wadogo , wakiwa kwanzia Elimu yachini kabisa kujua uzalendo, madhara ya rusha, utu, nk.

'''''''''''''KARIBUNI VIONGOZI WOOTE WAHILI JAMVI NIPOTEYARI KUKOSOLEWA KWAMAWAZO YANGU KWANI NDIO NJIA YANGU KUU YAKUJI FUNZI''''''''''.
 
Back
Top Bottom