Mawazo Ya Dr Nchimbi Kuhusu Chaguzi Tanzania

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,856
Nawaza tuu
Kila tunapochagua mbunge anawakilisha chama chake, inapotokea mbunge amefariki tunarudia uchaguzi wote, mimi nilidhani chama ambacho mbunge wake amefariki ndicho kifanye mchakato wa kupata mbunge mpya kuziba nafasi wazi

Nawaza tuu
Unapotokea uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri au Meya kila chama kinaweka mgombea, mimi nilidhani kanuni zetu ziweke wazi kuwa chama chenye madiwani wengi ndio kitatoa Meya au mwenyekiti wa halmashauri

Nawaza tuu
Unapotokea uchaguzi wa Spika kila chama na kinaruhusiwa kuweka mgombea nilidhani sheria zetu zingeweka wazi kuwa spika atokane na chama chenye wabunge wengi au muungano wenye wingi wa wabunge.
Source:FB Wall Ya Dr Nchimbi
 
Mimi huwa nachagua mtu na sio Chama , hata hivyo ninamshangaa Kama wazo Hilo hakulitoa wakati wa mchakato wa katiba mpya
 
Back
Top Bottom