Kila kona sasa hivi utasikia UKAWA,ACT na CCM maswala mengine nyeti kama kilimo kwanza ujasria mali na uhuru wa fikira...vijana
Tumejisahau, ikumbukwe kwamba maendeleo ya yetu ni kwa kiasi kidogo sana yanaweza kutokana na uamzi wetu wa kuchagua kiongozi makini..
Hapa cha msingi tujikite katika maswala yetu ya maendeleo kwa kutumia rasilimali tulizo nazo...tupeane ujuzi ni jinsi gani tunaweza kutumia elimu zetu tulizo nazo kubadilisha mstakabali wanchi yetu na jamii zetu kwa ujumla.
Aidha kama sisi tukijipanga tukawa na maono chanya, hapo tunataomba kiongozi ajaye afanye yapi kufanikisha malengo yetu ( fulfilment of the requirements).
No one will make your own life..