TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kauli za Magufuli Juzi kumsifia Makonda Licha ya Uhuni, Upumbavu, na Ujambazi aliowafanyia Clouds Tv na Watanzania Kwa Ujumla. Ni wazi Kuwa inaweka Mazingira Ambayo Ni fedheha sana na Kujidhalilisha kuwa Waziri Katika Serikali ya Magufuli.
Magufuli anapambana Kuua Ushindani wa Demokrasia Nchini na Akimaliza Kudhoofisha Demokrasia Wanaccm wasidhani watakuwa ndio wameshinda! Magufuli atawageukia na Kuwakatia Vichwani Viongozi wa CCM wakkwemo Wabunge. Wakati huo Itabidi kutembea kwa Magoti mbele za huyu Bwana ili upitishwe kwenye kura za maoni! Na huna pa kukimbilia.
Maoni yangu Ni Kuwa Kumnyoosha Magufuli Mawaziri wote wa CCM ambao wako Principled, wajiuzulu wote kwa mpigo (Najua watakuwepo wasio na kuona mbali watabaki) Lakini nina imani angalau Nusu wataliona hili, Hawana cha Kupoteza after all Bado ni Wabunge na Ni fedheha na Mateso sana Kumfanyia Kazi Rais Mjuaji kama Magufuli.
Kisha Baada ya Kujiuzulu wawashawishi Wabunge wengine wa CCM ambao wako competent, kuwa Magufuli akiwaomba kuwateua Wamkataliwe. Mwacheni Asimamie Serikali yeye na Daudi Bashite! Najua wapo Maninii Kama Lusinde hao msiwajali. Mimi Naamini hakuna hata sababu ya Impeachment wakimfanyia hii Backdoor impeachment atanyooka mwenyewe kama mbwa aliyekatwa mkia. Au ajiuzulu mwenyewe Wana CCM wengine waliotulia Wachukue Nafasi yake. Vinginevyo Naona Maono kuwa Mahufuli atawanyanyasa sana Viongozi wa CCM mpaka watashindwa Kuamini. Actually ameshaanza Ndogo ndogo Tayari.