Mawaziri wenye asili ya Kihindi Canada

Tokyo40

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
2,065
1,925
Lieutenant-Colonel Harjit Sajjan, 45, ni Waziri wa Ulinzi wa Kanada.

Akizaliwa India na kuletwa Kanada na wazazi wake akiwa na umri wa miaka mitano.

Ametumikia taifa lake la Kanada kwa miaka 26 kama Polisi na Mwanajeshi.

ImageUploadedByJamiiForums1453237426.418138.jpg

Kuna Mawaziri wengine watatu wenye asili ya Kihindi katika baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Justin Trudeau wa Kanada.

Navdeep Singh Bains , 38, Minister of Innovation, Science and Economic Development

Amarjit Sohi , 51, Minister of Infrastructure and Communities

Bardish Chagger , 35, Minister of Small Business and Tourism
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1453237447.299123.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1453237447.299123.jpg
    15.1 KB · Views: 59
  • ImageUploadedByJamiiForums1453237478.885736.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1453237478.885736.jpg
    8 KB · Views: 68
  • ImageUploadedByJamiiForums1453237497.084867.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1453237497.084867.jpg
    16.8 KB · Views: 60
  • ImageUploadedByJamiiForums1453237510.709136.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1453237510.709136.jpg
    7.2 KB · Views: 60
Sio siri wewe utakuwa baniani tu,kwahiyo mnataka tuwape uwaziri hapa Tanzania?hilo halitakuja kutokea kamwe hapa Tanzania.

Mgoroko

Mimi siyo Mhindi.

Kwa vyoyote utakuwa mdogo sana, hujui historia ya nchi yako. Huwafahamu akina Alnoor Kassum na Amir Jamal.

Kaa na akili yako ya kibaguzi wakati dunia inakuacha kwenye vumbi.

Hao hao Wahindi unaowachukia, unaenda kuwaomba msaada wakuletee maji bombani kwako, na kuwakimbilia wakutibu kwenye hospitali zao.
 
Ni ukweli usiopingika wahindi wamejaa sana Canada. Yaani wapo wengi unapoingia tu wanatia kinyaa, na ule upendeleo wao. Ni tatizo kubwa tuna Watanzania wenzetu ambao wanawapiga vita Watanzania wenzao na kuwasaidia hawa wezi masikini wa kutupwa. Nina matumaini sana na JPM atawaumbua wengi sana wanaopitia Tanzania na kutuchafulia jina. We need to fight these bastards kwa hali na mali.
 
Easy man,Easy,Y all the hate?
 
Huwezi ukasema tunaenda kuwaomba watuletee maji wakati tunawalipa kufanya kazi hiyo,hata matibabu ndio maana tumeboresha hospitali zetu ili tusipeleke wagonjwa wetu huko,sababu tulicho kigundua ni kuwa huduma wanazotoa india hata hapa hapa tz tunaweza kuzipata,na kuhusu ubaguzi nadhani wahindi wanaongoza kwahiyo na mimi sio haya kuwabagua sababu Tz ni ya watu weusi,kama mnataka uwaziri nendeni india mkautafute ila sio TANZANIA hapa.
 
Ndiyo maana nimekwita mjinga. Hutumii ubongo wako.

India wametoa MSAADA na MKOPO, serikali ya Tanzania haijalipa uletewe maji. Imeomba msaada.

Google siyo kwa ajili ya kuangalia ngono peke yake.

Na kila siku watoto wa Kitanzania wanapelekwa India kwa matibabu ya bure, hasa ya moyo. India pia imetoa MSAADA huo.

Watanzania pia wanapewa MSAADA wa kusomeshwa India.
Mmoja wa wanasiasa, NAPE, ni zao la Bangalore University.

Kama unajua Kiingereza, soma hapo chini kuhusu MSAADA wa $190 milioni kutoka India kwa ajili ya mradi wa maji. Halafu nionyeshe wapi Tanzania wamelipa wenyewe.

Pili, Ubaguzi upo upande wote katika jamii zote. Kuna Watanzania wanawapa mshahara wa 40,000 kwa mwezi wafanyakazi wao wa nyumbani, halafu wanawabaka kila siku.

India Will Provide $190 Million to Tanzania for Development
David Malingha Doya

May 27, 2011
India’s Prime Minister Manmohan Singh said his country will provide $190 million of development assistance to Tanzania.

About $180 million will be provided for water-supply projects, while $10 million will be spent on capacity building in social and education sectors, Singh told reporters today in Tanzania’s commercial capital, Dar es Salaam. Singh is on a two-day visit to the East African nation to deepen economic and diplomatic cooperation.

The $1.3 billion invested by India in Tanzania to date is “too small, and we have agreed with the president to increase it,” he said at a joint media briefing with President Jakaya Kikwete, his Tanzanian counterpart.

source: Bloomberg.com
 
Ni ukweli usiopingika wahindi wamejaa sana Canada. Yaani wapo wengi unapoingia tu wanatia kinyaa, na ule upendeleo wao. Ni tatizo kubwa tuna Watanzania wenzetu ambao wanawapiga vita Watanzania wenzao na kuwasaidia hawa wezi masikini wa kutupwa. Nina matumaini sana na JPM atawaumbua wengi sana wanaopitia Tanzania na kutuchafulia jina. We need to fight these bastards kwa hali na mali.

Love them or hate them. Wahindi hapo Kanada wapo miaka mingi na baada ya China. wanaongoza kwa kuja Kanada kuishi kila mwaka.

You can hate all you want, but you can't fight facts. They are richer than you, more successful than you and more politically wired than you in Canada.

Besides, you can't do jack shit about it.

Canadians embraced multiculturism, and ripped the benefits. The government makes $2 billion dollars a year just from immigrant fees and capital they bring every year.
 
Mgoroko

Mimi siyo Mhindi.

Kwa vyoyote utakuwa mdogo sana, hujui historia ya nchi yako. Huwafahamu akina Alnoor Kassum na Amir Jamal.

Kaa na akili yako ya kibaguzi wakati dunia inakuacha kwenye vumbi.

Hao hao Wahindi unaowachukia, unaenda kuwaomba msaada wakuletee maji bombani kwako, na kuwakimbilia wakutibu kwenye hospitali zao.

Acha ujinga wewe au unataka na sisi tukutajie utitili wa aina ya wakina chief mkwawa na mwanamalundi na jitihada zao za kupambana na ukoloni..

Kwan hospital zao tunatibiwa bure????
 
Acha ujinga wewe au unataka na sisi tukutajie utitili wa aina ya wakina chief mkwawa na mwanamalundi na jitihada zao za kupambana na ukoloni..

Kwan hospital zao tunatibiwa bure????

Hospitali zao, kama huna uwezo, unatibiwa bure. Watoto wenye ugonjwa wa moyo wanatibiwa bure. Lions Club inawapeleka.

Wachina, wametoa MSAADA wa $9 milioni kujenga hospitali kwa ajili ya kupunguza shida hiyo ya wagonjwa wa moyo.

Hatuongelei mapambano dhidi ya ukoloni. Tunaongelea wanasiasa wenye asili ya Kihindi huko Kanada na jinsi Wahindi wanavyofanya kazi zao kwa bidii nchi za nje na kujiendeleza .

Mkwawa kajenga nini Tanzania?
 
Canada is diverse. But I like French Canadian they have really stuck to their heritage despite the vast influence of Canadian English people of Origin.

I heard if you go to Quibec everything is in French and downgrading English
 
Hospitali zao, kama huna uwezo, unatibiwa bure. Watoto wenye ugonjwa wa moyo wanatibiwa bure. Lions Club inawapeleka.

Wachina, wametoa MSAADA wa $9 milioni kujenga hospitali kwa ajili ya kupunguza shida hiyo ya wagonjwa wa moyo.

Hatuongelei mapambano dhidi ya ukoloni. Tunaongelea wanasiasa wenye asili ya Kihindi huko Kanada na jinsi Wahindi wanavyofanya kazi zao kwa bidii nchi za nje na kujiendekeza.

Mkwawa kajenga nini Tanzania?
Sijawahi ona wahindi kutoka India Scandinavia wakibeba boksi night nadra sana. Wengi sana wako kwenye professional jobs. Nawakiwa wanafunz wakimaliza wanarud kwao ama wanajaribu kwenda Kanada Uingereza ama Australia. Wahindi wanaobeba boksi sana ni Nepalese, Bangladeshi, Pakistani name Sri Lankan hata kama wamesoma.

Ureno ina sheria yao kuwa inatoa Uraia kwa wahindi wa Goa jimbo India walipotawala kwa wale waliozaliwa miaka ya 60s kurud chini. Waliopewa uraia wa Ureno hawaishi hata Ureno. Wamejijaza Uingereza na Kanada
 
Hujui ku
Sio siri wewe utakuwa baniani tu,kwahiyo mnataka tuwape uwaziri hapa Tanzania?hilo halitakuja kutokea kamwe hapa Tanzania.
Hujui kusoma na hatapicha huoni, ungependekeza namna ya kuhandle wageni kwani tayari tunao na si kusema haiwezekani, bora kwa wenzetu hawa mawaziri ni registered, Tanzania tumetoa fursa kwa wahamiaji haramu kwenye kila level ya governance
 
Tukubali au tusikubali wahindi wamejijengea heshima kubwa sio Canada tu, hata UK wapo mawaziri wahindi. Vyuo vikuu vingi vya USA na UK vina walimu wenye asili ya India wengi. Huko UK Raisi wa chama cha wanasayansi waliotukuka (the Royal Society) ni Mhindi , bingwa wa kimataifa katika taaluma yake. Wahindi pia wana wastani wa kipato cha juu huko Marekani na UK kuliko wahamiaji toka bara Afrika na bara Latin America.
 
Sijawahi ona wahindi kutoka India Scandinavia wakibeba boksi night nadra sana. Wengi sana wako kwenye professional jobs. Nawakiwa wanafunz wakimaliza wanarud kwao ama wanajaribu kwenda Kanada Uingereza ama Australia. Wahindi wanaobeba boksi sana ni Nepalese, Bangladeshi, Pakistani name Sri Lankan hata kama wamesoma.

Ureno ina sheria yao kuwa inatoa Uraia kwa wahindi wa Goa jimbo India walipotawala kwa wale waliozaliwa miaka ya 60s kurud chini. Waliopewa uraia wa Ureno hawaishi hata Ureno. Wamejijaza Uingereza na Kanada

Wahindi wengi wasio na elimu wapo Uarabuni, wanasafisha barabara na vyoo. Lakini hawa hawa wanapeleka bilioni $40 na kuzidi kila mwaka.

Uzi unazungumzia Wahindi walio katika siasa huko Kanada. Na wengi pia wameingia katika siasa za Marekani.

Uraia sio issue siku hizi. Ukiwa na elimu ya uhakika na pesa kidogo, uraia wa nchi za ulaya / Marekani unanunua tu. Wenzetu wanataka biashara, hawajali rangi yako ya ngozi.

Wahindi wengi wamesoma na wana umoja, ndiyo maana wako mbele kimaisha duniani kote.

Public Prosecutor wa New York, Preet Bharara, amezaliwa India, na amesoma Columbia na Harvard.

Magavana wa majimbo mawili ya Marekani, Louisiana (Bobby Jindal) na South Carolina ( Nikki Haley) yanaendeshwa na Wamarekani wenye asili ya Kihindi.

CEO wa Pepsi, Citibank na Google wana asili ya Kihindi.

Bill Gates kauziwa Hotmail na Mhindi.

Kampuni ya kimataifa ya TATA na Infosys ni za Wahindi Wazawa.

Tukiweka chuki binafsi na wivu, Watanzania Wazawa waliofika level ya juu katika siasa na biashara za kimataifa duniani ni wachache sana ukilinganisha na Wahindi.

That's the hard fact.

Vingine ni porojo za masikini jeuri.
 
nilisoma sehem Kuwa waamiaji (migrants) wanaoishi Nordic countries wanaotuma sana hela nyumban kwao Ni wahind wa Nepal wakifuatiwa na wa kenya na Nigeria.

Nakubaliana na wewe kabisa Tokyo elimu na umoja na pia uadilif Ni kitu cha kwanza Kwenye maendeleo. Nepalese wana umoja sana na kusaidiana.
 
Back
Top Bottom